Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Ivi Bado haya mambo ya Combination yapo !?
Story za Zamani saana hizi 1999, mda nasoma.
Sikuizi naona Style iliyoko ni Chuo Direct after form four.
 
wajinga nliokuwa nasoma nao wakinicheka why nimesoma HGL kwa sasa wako mitaani
form 6 walichemka vibaya sana wakijisifu na PCM,PGM zao
kwa sasa nina vidigree vyangu vitatu yaani undergraduate na post 2 sio phd
life iko super kiasi chake siombi kwa mtu wala sijafisadi cha mtu
kwa akili zenu za kitoto mnaandika upuuzi humu kakojoeni mlale hamna adabu kuandika ujinga kama huu.
soma kitu unachoweza na sio kufuata mkumbo..

watakaaa tu wanaona sifa mtaani kuona wanasona kombination naarufu eee
 
Hata advance yenyewe hujaingia hushaanza kudharau comb.haya tutakuona washaandikaga wengi kama wewe!

eti anasema kwa hiki kipindi kigumu ......wskati yy ni mtoto wa BRN vilaza maarufu
 
Mkuu hakuna combination dhaifu,wote wakisoma pcm unadhani itakuaje,jaribu kufikiri kwa kina kabla ya kuja na uzi hapa,this is the home of great thinkers
 
JamiiForums,

Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.

Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....
Watoto bwana utawajua tu
 
Combi ngumu ni zipi na rahisi ni zipi? Ninachojua, malengo ya mtu katika maisha ndio huamua mtu asome combi ipi! combi za udaktari ni tofauti na za uhasibu ama uanasheria! Pia, hakuna mtu aliyewahi kusoma combi 'zote' kisha akaja na upembuzi kuwa PCM ni rahisi kuliko ECA, CBG au KLF.
Grow up kijana.

amekariri hajajua maana ya specialization na mtu anamaster sehemu yake mfano anaesoma hizo mnaita kombi ngumu mwambie aje asome hizo combi anazoita nyepesi ataambulia zero. na hamna anayeweza kutoa muafaka juu ya ugumu wa combi mbili tofauti cuz hawez sina pair ya pili ya kufanyia comparison
 
JamiiForums,

Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.

Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Dogo naona kabisa hata huko kwenye faculty utakuwa ukiwasikia wenzio tu wanakusimulia, maana hapa hoja yako ni utata mtupu, maprofesa na ma Dr.hawata kuwa na kupoteza kuhangaika na mtu asijua kupanga hoja zake:

Hebu tupe uhusianao wa combi hizo na udhaifu wa elimu,ajira,chuo,faculty. Au ulikuwa unamaanisha ajira zitkuwa shida? hata hivyo masomo hayo haya sababishi ukosefu wa ajira,labda utupe takwimu.
Vinginevyo ulichokiandika hukijui.
 
Naona umekuwa mratibu wa Elimu sasa haya ni vyema kabisa ungeaandaa list kabisa inayoonesha strong combinations and weak combinations

By the way hata wewe ufikiri wako ni dhaifu
 
acha uzuzu wewe...comb ngumu ni zipi? Na ugumu unaupimaje?

KIMSINGI DOGO KACHEMKA,COZ HATA KAMA ALIKUWA ANAWAHIMIZA WENZIE WASOME KOMBI ZA SAYANSI ALISHINDWA KUELEWA KUNA FANI NYINGINE ZINAHITAJI WATU WALIOSOMEA MASOMO YA SANAA KAMA VILE SOCIOLOGY,PUBLIC ADMINISTRATION,LAW NK,VILE VILE WATAALAMU WA LUGHA HUWEZI KUWAPATA KWA KUSOMA CHEMISTRY AU MATHS,OR BIOLOGY. Hata hiyo sayansi ikiwa watu wote wakaamu kusoma ajira itakuwa tatizo vilevile.
Pia dogo atambue kuwa fursa pia ni muhimu katika kuchagua combination,mwanafunzi kasoma shule ina vyumba vitatu tu,hata maabara haipo,atawezaje kusoma sayansi?
 
KIMSINGI DOGO KACHEMKA,COZ HATA KAMA ALIKUWA ANAWAHIMIZA WENZIE WASOME KOMBI ZA SAYANSI ALISHINDWA KUELEWA KUNA FANI NYINGINE ZINAHITAJI WATU WALIOSOMEA MASOMO YA SANAA KAMA VILE SOCIOLOGY,PUBLIC ADMINISTRATION,LAW NK,VILE VILE WATAALAMU WA LUGHA HUWEZI KUWAPATA KWA KUSOMA CHEMISTRY AU MATHS,OR BIOLOGY. Hata hiyo sayansi ikiwa watu wote wakaamu kusoma ajira itakuwa tatizo vilevile.
Pia dogo atambue kuwa fursa pia ni muhimu katika kuchagua combination,mwanafunzi kasoma shule ina vyumba vitatu tu,hata maabara haipo,atawezaje kusoma sayansi?
 
JamiiForums,

Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.

Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....[/QUOTunajua nini wewe ebu nyamazs tena kaa kimya
 
Kwa utafiti wa haraka, waliosoma H something wapo wengi sana humu. Shardcole watakumeza hawa.
 
wajinga nliokuwa nasoma nao wakinicheka why nimesoma HGL kwa sasa wako mitaani
form 6 walichemka vibaya sana wakijisifu na PCM,PGM zao
kwa sasa nina vidigree vyangu vitatu yaani undergraduate na post 2 sio phd
life iko super kiasi chake siombi kwa mtu wala sijafisadi cha mtu
kwa akili zenu za kitoto mnaandika upuuzi humu kakojoeni mlale hamna adabu kuandika ujinga kama huu.
soma kitu unachoweza na sio kufuata mkumbo..

well said.
 
Mpiga msuli upo wapii aseee?? Naona product yako huku ishaaanza sumbua et.......

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Sasa huyo asome PCB ili awe doctar?kwa hali hii nitaendelea kutumia mitishamba huko hospital mtazidi kutuua.
 
kilaza wa kesho hicho u talk such stupidity in front of great thinker? Foolish
 
kuna mtu aliwahi sema shule za siku hizi hakuna debate kitu ambacho kimefanya vijana wa siku hizi wawe na uwezo mdogo sana wa kujenga hoja. ndio ninachokiona hapa.
 
Combi ngumu ni zipi na rahisi ni zipi? Ninachojua, malengo ya mtu katika maisha ndio huamua mtu asome combi ipi! combi za udaktari ni tofauti na za uhasibu ama uanasheria! Pia, hakuna mtu aliyewahi kusoma combi 'zote' kisha akaja na upembuzi kuwa PCM ni rahisi kuliko ECA, CBG au KLF.
Grow up kijana.

comb ngumu ni uchangudoa kuliwa na midume zaidi ya kumi kwa siku
 
Back
Top Bottom