CBG unaongelea nini hapo haina tofauti na HKL,HGL ukishaona haipo math wala phy ktika kombi ujue n dhaifu kwa mujibu wa mtoa madaPCB ,PCM,CBG,na PGM....twende sawa maana lazima ubungo uwe timamu kwa hayo mawe
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.
Shardcole upo sahihi Mkuu wasikutishe hao
Mimi ninaonge na ushahidi ninao hizo combination za kijinga sana kitaani watu wapi kibao wanasota na ukitaka kuamini hivyo angalia wanaolalamika humu jf wengi ni science au art ?? Hkl hii ndo bats kabisa kuna jamaa alipata one yeye alikuwa ni kulala tu sasa PCB Fanya huo ujinga uone tuheshimuni basi jamanihahhahahaha mawazo ya watoto ya kijinga kijingaaaaaa.... Mimi nimesoma ART course na nipo vizur.... Subirin mkiingia kwenye soko la ajira ndio mtajua hayo mawazo ya kuzarau kozi za wengine ni mambo ya kizaman
Cbg MkuuWewe ulisoma ipi?
Hongera zakoCbg Mkuu