pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 11,561
- 14,627
Mkuu na wewe ni muhanga nn ni utani tu huu mkuuWewe ulisoma ipi?
Mkuu na wewe ni muhanga nn ni utani tu huu mkuuWewe ulisoma ipi?
Kwa nn mkuuHongera zako
Mimi ninaonge na ushahidi ninao hizo combination za kijinga sana kitaani watu wapi kibao wanasota na ukitaka kuamini hivyo angalia wanaolalamika humu jf wengi ni science au art ?? Hkl hii ndo bats kabisa kuna jamaa alipata one yeye alikuwa ni kulala tu sasa PCB Fanya huo ujinga uone tuheshimuni basi jamani
Mnasema kombi za kiume ila HKL HGK HGL za mabintiKwa nn mkuu
Sawa Mkuu ntakutafuta nikikosa ajira nasoma b.comMark my words to what i did post early.... One day you will rember me

Mkuu utani tuu huuMnasema kombi za kiume ila HKL HGK HGL za mabinti
Sawa Mkuu ntakutafuta nikikosa ajira nasoma b.com![]()
![]()
Nahisi umekosea !! HGE ? U mean HGL ? Eti comb dhaifu duh unaijua Economics wewe? Acha masiharaJamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Mkuu kazi najua ni ngumu sana ila za arts ni zaidi aseeKijana suala la ajira tanzania ni gumu saba ukiwa chuo huwezi kujua ngoja umalize chuo utaona kwa macho yako.... Nasema tena epuka kuwadharau wenzako kwa kozi zao.... Tunza haya maneno yangu utaniambia
Uchumi na biology IPI ngumu tuanze hapoNahisi umekosea !! HGE ? U mean HGL ? Eti comb dhaifu duh unaijua Economics wewe? Acha masihara
Cjaulizo hilo...But nmepasua Biology 4m 4 lkn nmesoma HGE So cjui biology ya A levelUchumi na biology IPI ngumu tuanze hapo
Mulogo sijui yupo wapi ndo aliesababisha hili jangaHawa wanafunzi wa mlugo hawa tunakazi nao kweli.
Tena kubwa ila not serious its jokes ni kama debate wakati tukiwa kidatoKazi ipo...
We isiisikie hivyo hivyo hivyo kituCjaulizo hilo...But nmepasua Biology 4m 4 lkn nmesoma HGE So cjui biology ya A level
Mkundu wewe jinga kabisa kaongelee choniJamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Punguza jaziba Mkuu, dogo katoa mawazo yake kwa uelewa wake, vyema ukamjibu kwa hoja sio viroja!Mkundu wewe jinga kabisa kaongelee choni

Kumbe maisha na mchepuo wa Elimu vina uhusiano?JamiiForums,
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza form 4 katika kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012.
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.
Ahsanteni....
Zao la BRN (Boost Result Network) katika ubora wako tena kumbuka Mama Ndalichako kafuta GPA ...nenda kapige hiyo PCM utuletee Heshima ya division ZIRO KitaaniJamiiForums,