Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Tutauona mwisho wako,wengi dharau hizo ziliwaponza sasa wanajuta,hongera mgumu kwa kusoma comb ngumu
Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.
 
Unasoma COMB kutokana na matokeo yako,
je,aliyefeli masomo ya sayansi atasomaje COMB ya PCM,PCB,CBG na ECA?
acha hizo.
 
ugumu wa combination una judge kwa bases zipi maana mimi nilisoma PCM then HKL ilikuwa ngumu kwangu maana vishazi na vilai vilinizingua balaa
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Hiv hata unajua nn maana ya faculty?!
 
Haya bana,ngoja sie vilaza tuliosoma HGE tujipitie zetu kimya kimya..
 
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.

kijana kwa ufupi hkl atasoma kitu chochote kasoro udaktari au uinjia. Ni advance pekée ndo tunakariri kuwa ukitaka kuwa accountant soma eca, we ukifika chuo utashangaa mwenyewe
 
kijana kwa ufupi hkl atasoma kitu chochote kasoro udaktari au uinjia. Ni advance pekée ndo tunakariri kuwa ukitaka kuwa accountant soma eca, we ukifika chuo utashangaa mwenyewe
Nadhani kijana hakulijua hili. Pale UDBS ni mfano mdogo ntakaompa kuna watu wa comb zote kuanzia hizo HKL mpaka PCM wanapiga accounting na watu wanafanya vizuri mpaka basi.
 
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.

hakuna comb ngumu au rahsi we kichwa maji
 
mwanasheria anapackage nzur kuliko dr.na kasoma,HKL,HGK,HGL,So muhmu kutambua unataka kuwa nan.usidanyanywe na comb.dogo
 
utamuinspire mtu vip asome comb ngumu wakat anajijua hawez au siyo anayohitaji kwenye taaluma yake? kama we unataka kasome halafu uone matokeo baada ya miaka 2! nyinyi ndo walewale mnaosoma pgm mara cbg alafu mnakuja kuanza diploma in accountancy! kuwa uyaone! hii elimu ya bongo sio kama ya nje!
 
kijana kwa ufupi hkl atasoma kitu chochote kasoro udaktari au uinjia. Ni advance pekée ndo tunakariri kuwa ukitaka kuwa accountant soma eca, we ukifika chuo utashangaa mwenyewe

mkuu hebu tazama hii,mtu wa hkl ataweza soma baf,bcom,tele,electronics,ni kweli kuwa ata fit maeneo mengi ila maeneo ambayo ni marketable hayatamuhusu,nikisoma mechanical engeneering ukasoma human resourses management,tukikosa ajira wote nani anaweza kujiajiri kati yangu na yako...Tanzania ina wana arts wengi kuliko walio soma sayansi,je tuendelee kusoma arts wakati nchi inahitaji madaktari WENGI ZAIDI mainjinia wengi zaidi nk

nasubiri kurekebishwa mkuu
 
kwa kumuunga mkono mtoa mada::::::

hapa nikiangalia sioni kama mtoa mada amedharau combs za sanaa ila ameshindwa kutoa hoja kusupport mawazo yake.tukubali tukatae WENGI waliosoma sanaa a-level,walipata div iii kwenye matokeo ya o-level,hii inaonesha kuwa sayansi ni NGUMU kama haupo smart kiasi flani,na ndo mana MARA NYINGI husomwa na wato ambayo ufaulaulu wao ni mzuri::div i & ii(naweza sema hivyo,ikumbukwe nimesema maranyingi)

kwa kumsaidia mtoa mada,kwa hali ya Tanzania sayansi inahitajika zaidi kuliko sanaa,madaktari,walimu wa sayansi,mainjinia,na wengineo

nasubiri kurekebishwa kisomi
 
marketability hutegemea nch gan wataka ish.mm nafundisha kswhl austr,norway na finland bonge la deal.inatemea wap unaish
 
kwa kumuunga mkono mtoa mada::::::

hapa nikiangalia sioni kama mtoa mada amedharau combs za sanaa ila ameshindwa kutoa hoja kusupport mawazo yake.tukubali tukatae WENGI waliosoma sanaa a-level,walipata div iii kwenye matokeo ya o-level,hii inaonesha kuwa sayansi ni NGUMU kama haupo smart kiasi flani,na ndo mana MARA NYINGI husomwa na wato ambayo ufaulaulu wao ni mzuri::div i & ii(naweza sema hivyo,ikumbukwe nimesema maranyingi)

kwa kumsaidia mtoa mada,kwa hali ya Tanzania sayansi inahitajika zaidi kuliko sanaa,madaktari,walimu wa sayansi,mainjinia,na wengineo

nasubiri kurekebishwa kisomi

Ahsante sana mkuu kwa kunielewa na Jehova Shama akubariki.
 
kijana u may be right if someone have to change his/her dreams because of the moment she/he endure inorder to go a-leve.But...l
 
Dogo una matatizo ya kukosa mchujo wa fm2 ..nyinyi watoto! hata kama ni kuinspire kuna lugha convenient na polite ..mind
 
HuYu Jamaaa aliyepresent hii Mada/thread, ni Mbululaaaaaaa kwa asilimia zaidi ya 100. Ni zao la Mulugo.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom