Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Ogopeni kusoma kombi dhaifu

wajinga nliokuwa nasoma nao wakinicheka why nimesoma HGL kwa sasa wako mitaani
form 6 walichemka vibaya sana wakijisifu na PCM,PGM zao
kwa sasa nina vidigree vyangu vitatu yaani undergraduate na post 2 sio phd
life iko super kiasi chake siombi kwa mtu wala sijafisadi cha mtu
kwa akili zenu za kitoto mnaandika upuuzi humu kakojoeni mlale hamna adabu kuandika ujinga kama huu.
soma kitu unachoweza na sio kufuata mkumbo..
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Hata advance yenyewe hujaingia hushaanza kudharau comb.haya tutakuona washaandikaga wengi kama wewe!
 
Hapama my bro! Nilichokusudia ni kuwainspire vijana wenzangu kusoma comb ngumu.
Combi ngumu ni zipi na rahisi ni zipi? Ninachojua, malengo ya mtu katika maisha ndio huamua mtu asome combi ipi! combi za udaktari ni tofauti na za uhasibu ama uanasheria! Pia, hakuna mtu aliyewahi kusoma combi 'zote' kisha akaja na upembuzi kuwa PCM ni rahisi kuliko ECA, CBG au KLF.
Grow up kijana.
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

BROTHER! :nono:

me nilipitia PCB! I took my hat off to all who took anything with 'H' it. Niliona ni bora nipoteze muda kuderive formula mweyewe through numerous possible angles, alafu nishindwe kusolve swali kuliko kuliko kuandika miaka na majina ya uongo. HISTORY WAS A NIGHMARE FOR ME! IT STILL IS.

Kwahiyo na mimi ningepost kama wewe ningesema 'ogopeni kuchukua combi dhaifu kama PCB, PCM, CBG'.
 
yaani we ni boga kabisa.fatilia wanao ongoza huu ulimwengu afu chek profile zao utajua walisoma nn.au simply hapa tanzania.lazima ujue kuwa wote hatuwezi kufanya kitu kimoja ama kufanana ndo mana akawepo mama yako na akaolewa na baba yako ukazaliwa ww.wht if tungekuwepo wanaume tu duniani?ungezaliwa ww na kupost ujinga wako humu?
 
Mtoa thread hapo juu ni baba yake mbulula aliyekuambia kusoma pgm pcb cbm nk ni mafanikio nani? Mafanikio ni wewe mwenyewe kuzichanga.bakhresa amesoma combination ipi? Acha fikra za kimaskini
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Hakuna comb zaifu zote zilifanyiwa utafiti na ndiyo maana zikaonekana zinatija ktk taifa. Bali kwa sasa comb za arts zimezidiwa kwa kuwa na wasomi wengi kuliko sayansi ushauri wng tukimbilie comb za sayansi ili kuleta uwiano wa wataalamu ktk kada zote.
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

hivi wewe unajua nini kuhusu elimu ya A level na elimu ya juu ndiyo kwanza umemaliza form 4 tehe tehe kijana soma acha mbwebwe wenye waliokuwa na mbwembwe kama zako leo wanafagia kwa hao unaosema wamesoma combination dhaifu chezea elimu wewe .
 
hao wakusomea hizo combinationation wenyewe wako wapi? kwa matokeo hayo lol, na hizo ulizotaja wala si comb zifu wengine tumesoma hizo na mambo ni mazuri haswaaa
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.
 
wajinga nliokuwa nasoma nao wakinicheka why nimesoma HGL kwa sasa wako mitaani
form 6 walichemka vibaya sana wakijisifu na PCM,PGM zao
kwa sasa nina vidigree vyangu vitatu yaani undergraduate na post 2 sio phd
life iko super kiasi chake siombi kwa mtu wala sijafisadi cha mtu
kwa akili zenu za kitoto mnaandika upuuzi humu kakojoeni mlale hamna adabu kuandika ujinga kama huu.
soma kitu unachoweza na sio kufuata mkumbo..

Duhh! Kweli kaka. Hayo ni mawazo ya form four level. Wakikua watajifunza kitu
 
BROTHER! :nono:

me nilipitia PCB! I took my hat off to all who took anything with 'H' it. Niliona ni bora nipoteze muda kuderive formula mweyewe through numerous possible angles, alafu nishindwe kusolve swali kuliko kuliko kuandika miaka na majina ya uongo. HISTORY WAS A NIGHMARE FOR ME! IT STILL IS.

Kwahiyo na mimi ningepost kama wewe ningesema 'ogopeni kuchukua combi dhaifu kama PCB, PCM, CBG'.

Mkuu binafsi nmekusoma ila unataka kusemaje kuhusu History au PCB...?
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Kwa kukusahihisa tu hakuna combination ambayo ni dhaifu isipokuwa watu wanaochukua combination fulani ndiyo wanaweza kuwa dhaifu kama wewe ulivyo!
 
Mpumbavu ongea na mpumbavu mwenzio usilete hapa, unamaanisha walioweka hizi combinations ni dhaifu kifikra?
 
Mwandosya na Magufuli wamesoma Pcm Kikwete amesoma HGE lakini anawaongoza. Kua kijana ukifika elimu ya juu ndio utajua kwamba ulikuwa unaongea uharo tu. Mimi nimesoma HGE chuo kikuu nikasoma Geography kwenye ualimu lakini maisha yanasonga tu.
 
Ndugu wewe ni miongoni mwa watanzania weengi mnaopenda white collar jobs na pia hujui hata ulisemalo......wewe bila shaka ni zao la Brn ila aya kasome tu comb imara na maisha yako yatakua imara etiiii....watu kama wewe ndio mnaowaza kuajiriwa tuu na maisha yako utayashape kama fikra zako
 
BROTHER! :nono:

me nilipitia PCB! I took my hat off to all who took anything with 'H' it. Niliona ni bora nipoteze muda kuderive formula mweyewe through numerous possible angles, alafu nishindwe kusolve swali kuliko kuliko kuandika miaka na majina ya uongo. HISTORY WAS A NIGHMARE FOR ME! IT STILL IS.

Kwahiyo na mimi ningepost kama wewe ningesema 'ogopeni kuchukua combi dhaifu kama PCB, PCM, CBG'.

mkuu ww nakufananisha na ukawa hauna akili pamoja na PCB yako
 
Back
Top Bottom