Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Ogopeni kusoma kombi dhaifu

Baba yako na mama yako wote wamesoma arts pure wamepata ajira ambayo ndo inakusomesha leo afu waidis.. Haya we kasome kombi za kigum mwisho wa siku chuo utaanza na certificate alaf wenzako dhaifu wanaanza na degree.
 
Ha ha ha!!!!! Kweli huyu jamaa mbulula!!! Hii impact ya Mulugo ina shida kweli!!

Haya boss, kama unafikiri ni sifa, jitahidi uchukue ambavyo unahisi utaweza kumbe huwezi, afu mwishowe ule zero form six!!!!!!!!!!

Wakat nikiwa form six kuna dharau ambazo watu walikuwa wanazifanya kuhusiana na vyuo kadhaa, et kuviita 'tchuo' badala ya 'chuo' meaning wana-undermine, lakini mwisho wa cku wakajikuta no way out, wapo humo!!!


Always do wat pleases your heart
 
sasa ww kila mtu akisoma hizo combination unazozitaja,hizo combination zingine atasoma nan?fikiri kabla ya kuandika kitu humu jamvin
 
Ana credit mbili za chemistry na bios yale anayoyaita dhaifu yote ana "D" sijui tumuelewe vipi huyu kijana.
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

shenzi type! Shwaini!
 
Hakuna k2 kgumu kama unamsing mzr coz hata combz za sience nazo ni rahc hal kadhalk HGs&HLs. afu kama ungekuwa ni mwalm nimwalm nngekshaur urejee kwny mada ya "MULTIPPLE INTELLIGENT na DOMAINS OF LEARNING". uko sawa kwa kuhamacsha, ila shule ze2 du!!
 
Ugumu wa kombi ni relative issue kila kichwa kinauwezo wake. La msingi zaidi mtiririko wako haukuunganishwa kitaalamu kwani faculty dhaifu haitokani na kombi bali hutokana na watu dhaifu. Na watu dhaifu hawatokani na kombi dhaifu. Ushauri uliotoa kwa kweli ni dhaifu na si sawa. Tafakari zaidi.
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

Chinua Achebe kafariki dunia nzima inamzungumzia kwa kazi zake katika tamthiliya zilizofundisha ethics na a deeper analysis of society.A deeper analysis of society is needed. Social commentary is needed. Diversity of knowledge is needed.

Watoto shallow wa shule za kata hawamjui hata Obi Okonkwo na kuweza kuunganisha mafunzo ya Achebe na mstatizo yetu ya leo. Ni products za failure, they could never escape the pitfalls of oversimplifying complex issues.

We certainly need more peple to study Math and Science subjects, but why not be comprehensive? Why limit ourselves?

Take it from someone who appreciate the whole enchilada. From RFCs to the works of Sheikh Amiri Sudi Andanenga "Sauti ya Kiza".

To quote T.I. "What do you know about that?"
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki
kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu
huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu
huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha
dhaifu.

Ahsanteni....

Kihiyo...#1
 
kwa ufauru upi vijana? Hapa mnasubiri huruma ya babuyenu pinda! Na kamati yake, combination nizao ambalo linatokana msingi wako na uwezo wako wa kimasomo, huwezi maliza kidato cha nne ukapata hgl eti ukasema ukasome pcm, msingi mbovu hupelekea nyumba mbovu.
 
kijana acha kuongea kitu usichokuwa na uelewa nacho. hakuna kwanza comb dhaifu uelewe hich kwanza. tatizo ni uelewa dhaifu kama uliyokuwanao wewe.jaribu kufikiri kidogo. maaana usije ukaniambia tena hata ule wimbo nzuuuu nzuuuu nzuuuu eeeeh mama nyukilia eeeh haujakusaidia.
 
Combi ngumu na rahisi ni zipi? dogo usijdanganye soma kile kitu unaweza watafute walioshobokea PCM, PCB, PGM hata hiyo HGL unayoikashifu uone wapi sasa hivi? nikikuambia nitafutie hao waliosoma "combi ngumu" watano na wakafanikiwa sijui kama utawapata kwenye eneo unaloishi. Soma kitu unachokipenda na unachokiweza. Vinginevyo utaishia kuangalia Mechi za Premier league kwenye DSTV (kama mnayo) yenu hapo hom.
 
Mind keeper...! Sina maana hiyo ila nilichofanya mimi ni kuwainspire vijana wenzangu tusiogope kusoma comb ngumu kama CBG PCB PCM ECA etc ili kuepuka wote kuja kuwa mzigo huko mbeleni hasa ukiangalia na mfumo wa soko la ajira nchini kwani comb ndiyo inayozaa taaluma utakayosomea chuoni.

Yan wewe daraja la kuwa mjinga umevuka na sasa uko katika daraja la upumbavu kabisa...shenzi wewe mvivu wa kufikiri, yani kama ungekuwa kuku basi mawazo yako hayapenyi zaidi ya kufikilia pumba unazopewa. Nan kakwambia kuna combntion ngumu? Na nan kakwambia ukisoma comb za sayans utakujasoma course nzur? Kwanza course hiyo nzuri unayozungumzia ni ip? Wew bado ni mpumbavu na unatakiwa kurudia kusoma toka chekechea mpaka ulipofikia pengine mind yako inaweza improve kidogo.
 
JF.
Hii ni special kwa vijana wenzangu ambao tumemaliza 4m4 ktk kipind hiki kigumu cha Mulugo 2012,
Ni vyema tujue kuwa comb dhaifu huzaa faculty dhaifu, faculty dhaifu huzaa chuo dhaifu, chuo dhaifu huzaa taaluma dhaifu, taaluma dhaifu huzaa ajira/kazi dhaifu na mwisho wa siku ajira/kazi huzaa maisha dhaifu.

Ahsanteni....

kwa taarifa yako comb unazoziponda ndizo zinazolipa na watu wanaishi maisha ya raha mustarehe, soma sayansi ukachakae pale muhimbili na maabara bila burudani.

lkn jambo lingine haiwezekani wala haitawezekana binadamu akawa kichwa peke yake ndiyo maana kuna moyo, figo, miguu mikono nk hivyo hata elimu watu wanazosoma ni hivyo hivyo tu
 
Sasa bwana mdogo unapozungumzia kombi dhaifu unaongea kwa fikra ambazo ni yakinifu au?
Inamaana kama lengo la mtu ni kuwa mwanasheria basi akisoma HKL au HGL atakuwa mwanasheria tena yule ambaye ni dhaifu. Si ndio?

Dhaifu kama JK wa pili?
 
Back
Top Bottom