Ogopa wanawake wenye macho ya hivi kwenye mahusiano

IMG_2448.jpg
 
Ndio maana napenda wanawake wenye macho makubwa.

Kumbe ni jenetiki mutation Toka kwa Babu zangu ikiniondoa kwenye hatari
 
Kama unahitaji amani kwenye mahusiano yako basi zingatia sana macho ya uyo mwanamke, ogopa wanawake wenye macho madogo yakujifinya, wastani yalivoshuka pembeni, makubwa ila hasiyo sexy.
No offens.

Madogo yakujifinya
Hawa wengi ni wembamba, wanatunza vitu moyoni hawajui kusamehe,visilani,wakiongea hadi mishipa ya mabegani inatoka.

wastani yaloshuka pembeni
Hawa hupenda utawala, wajuaji, wababe kweli kweli, ukitaka amani nae kua fala, wanaroho za kikatiri sana ukingia 18zao, hawa hua wanauwezo wakuua kabisa.

Makubwa yasio sexy
Hawa usiombe uwakute masokoni, usiponunua kwake mboga unaweza usiku usilale, wabinafsi haswa, wapenda magomvi ila nguvu hawana, wachonganishi saana.

Kama unabisha chunguza hapo ulipo.

View attachment 2826798
View attachment 2826798View attachment 2826799View attachment 2826800View attachment 2826801View attachment 2826802
Kuna vitu umeacha
  1. Pua
  2. Midomo
Screenshot_20231127_202336_Samsung Internet.jpg


Usije ukathubutu kurusha ndoana hapo utajuta
 
Mkuu yani kwa staili hii ndo kuoa bai bai kabisa😁😁😁😁

Wangu huyu mbona ana macho makubwa yasiokuwa seksi 😂😂😂

lakini ana roho nzuri au ndo false possesion nijiandae kwa kitu kizito hapo baadae😂
Kwakweli amedanganya Mimi mbonayangu makubwa na Sina roho mbaya😂😂😂
Neuro hebu njoo nitetee mdogowangu
 
Back
Top Bottom