zous
JF-Expert Member
- Sep 25, 2017
- 3,907
- 6,629
Kweli kama hujaelewa usikurupuke kujibu utaonekana zuzu we soma comments ndio utajua zaid ..big up mleta mada
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeelewa niniUsipende kuchangia mada ambayo hujaielewa. Utaonekana zuzu.
Mada ni kuhusu WiFi, Bluetooth na speakers, siyo satellitesKwani siku hizi satellite zinatumia waya?
binafsi sijakuelewa mleta maada!
atakuwa anazungumzia kipasa sauti ya bungeHabalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Wireless pia ni subject kwenye mada!!Mada ni kuhusu WiFi, Bluetooth na speakers, siyo satellites
Kweli kbs kifaa hichi usiombe hakijali kama we ni bosi wake utashngaa mwenyewe kikichomekewa na mtu mwingine hata kama ni movi ya pilau unashangaa msauti wa ajabu unatokezea kule Dj chaliiiii Homgera ssna kwa kutuletea hichi kifaa siku hizi kinatumika sana kuwakomesha watu.... nimeona leo kimenasa mawimbi ya PiereKabisa mtoa mada, bora hata spika za mtungi za awali tulikuwa na hakika chanzo mdundo, haya mambo ya remote hayafai kabisa,hata mdundo wa spika ni feki na dhaifu haueleweki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamaanisha hizi Spika za siku hizi ni Brainless? Yaani hazina ubongo, zinategemea ubongo kutoka katika chanzo kingine! Mkuu utakua unatumiwa na mabeberu kukwamisha juhudi za mtukufu.Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Habalini Wanajanvi.

Fasihi nzito sana. Kaka Edo Kumwembe natumai amekusoma vizuri sana.Habalini Wanajanvi.

Ni ngumu kuelewa kama somo la fasihi lilikupiga mtama enzi za masomoni! Kama kiswahili ulipiga Fanta utabaki kushangaa shangaa tu!binafsi sijakuelewa mleta maada!
Hahajahah only Guys with true IQ wataelewa hili!Nyamsusa JB unastahili Nobel Prize kwa andiko hili. Kwa hakika hio spika iliyoko Dodoma imeunganishwa na mziki ulioko pale maeneo ya Ferry, DSM!
..Zinaingiliana kaka !au labda hujaelewa kabisa hii post.Kuna coverage distance maalum isitoshe haziwezi ingiliana sawa na funguo za milango haziingiliani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ujue kwamba kwa umbali uliopo kati ya Dodoma ma Dar teknolojia za Bluetooth na WiFi haziwezi kufanya kazi kwa kuifanya wireless speaker ifanye kazi.Wireless pia ni subject kwenye mada!!
Ndiko nilikotoholea hoja yangu.
Dahh! Watanzania wengine bwana!! Mkuu, naona Umesahau kuwa huwezi kujiunga katika kifaa chenye Bluetooth bila ya "password"..hii theory uliyoliongea haiwezekani labda mtu aruhusu vifaa viwili vyenye BLUETOOTH au WIFI viwasiliane kwa kutumika namba za Siri (password)..Habalini Wanajanvi.