kindume
Senior Member
- Feb 25, 2017
- 110
- 54
Achana na ugali maharage usiku akiliyako itakuafasterbinafsi sijakuelewa mleta maada!

Haihitajiki shule vitu vyepesi kama hivi, ninyi wawili nawengine wa aina yenu mnatia aibuHata mie
Mkuu," sasa mbona wewe ndio unaonekana manyonyoli, tena manyonyori haswa
Habari hizi zinakuja kwenye jukwaa la siasa!..kweli we manyonyoli
Naona umeamua kuweka mpira kwapani kiume kukwepa mjadala.Nimeelewa kuwa wewe ni mgumu kuelewa
Una tatizo na hilo?Utakuwa umekulia lumumba huku ni mpenzi wa yanga!
Dj jiwe on one and two, paired spika Dungai.Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Kama kweli hamjamuelewa, basi hii nchi ina safari ndefu na kazi ni kubwa. Nadhani ndiyo maana nchi haiendelei.... Kukiwepo watu wengi wa aina hizi katika nchi, usitegemee kusonga mbele.
Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Mkuu hapa tupo kwenye siasa 100% au umekosea njia!!?Hahaha, Watanzania kila wafanyalo au watendalo lazima waweke siasa, sasa hapa mambo ya Lumumba yamekujaje??
Hizo zisizo kuwa na password zitatoa sauti ya kukujuilisha kuwa kuna kifaaa kinataka kuongea(comunicate) na kifaa chako, yote hayo ni kwasababu ya kuzuia mambo uliypyazyngumza yasitokee
Acha kuongopea watanzania..
Kweli mkuu nimekosea njia, nahau zimenipita, kumbe mnaomgelea. Spika zileee, dah!! Samahanini sanaMkuu hapa tupo kwenye siasa 100% au umekosea njia!!?
Pili sio lazima iku alert sijuwi kama ulisha wahi kutumia microphone wireless !!?
👍👍👍Kweli mkuu nimekosea njia, nahau zimenipita, kumbe mnaomgelea. Spika zileee, dah!! Samahanini sana
Wewe je?Una tatizo na hilo?
Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
mechi ile team CAG vs BUNGE uliwahi kuiona au hata kuisikia?binafsi sijakuelewa mleta maada!