Ogopa ma senior bachelor

Ogopa ma senior bachelor

Ujue mtani huyu mzee mwenzangu huwa anajawa busara sana linapokuja suala la kushauri kuhusu ndoa huku jukwaani...

Kumbe hata mguu hajatiamo...

But ninamheshimu sana, kama alivyosema "kuishi kwingi ni kuona mengi" nakubali pasina kupepesa macho.
Lakini mwenzako anakaribia uField Marshall. Usiseme mzee mwenzako, we bado sana!!
 
Itabidi nichukue hatua...
Ngoja

5cfe89128f2876bbc33d7fd30fddab00.jpg
Juice ndiyo hiyo....
 
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........

Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....

Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....

Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........

Its lots of funny here......
Kwa sasa ni sawa kwa sababu unaweza kufanya kila kitu ila ukianza kuingia uzeeni ndio utakumbuka ule msemo wa 'nobody wants to die alone'
 
Nafaham kadhaa bt seniours.. bt rumour hast it kwamba wanatafunwa
 
Back
Top Bottom