bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
ahaaaaa nina rsfiki yangu yeye ni chief bachelor nilimjua nikiwa ndogo after form 6 haki ya mama sijawai kuona mwanaume msafi kama yule yeye hajawai kuvaa nguo ya rangi ni white tu, nikawa natamani nijue kwake mweeee siku moja nikafika kwake manina zake ni msafiiiiiiiiiiiiiiiii kuanzia getini kwake
sikujua kuwa kama kuna mwanaume ambae anaweza ku compite na mm usafi ila yule jamaa ni kiboko ukiingia ndani unatamani akupe maji unawe mlango ndo uingie ndani
kwake kila kitu kilo arranged alphabetically. ndani kila kitu ni cheupe mmmmmmh nijajisemeya moyoni mshenzi huyu hanizidi usafi nikasema lazima niende chooni nione kama kimesuguliwa manina zake amesugua had sehemu ya kuchomeka ufunguo yaan mile kidude cha kitasa,
miaka ikaenda tukazidi kuzoeana so rafiki tu nikataka kujua life style yake kanisimulia kuwa alioga bint ila binti akifua tungu zake yeye lazima hazirudie bint yakamshinda akasepa,
akanambia mm sitokaaga nioe kwa sababu mm mwanamke hawezi kunifanyia kitu chochote hata akideki lazims nirudie kitanda akitandika lazima nirudie, nina mtoto mmoja huyu ananitosha nae atakuwa msafi kama mm.
si tulishakuwa marafiki siku moja akanambia mm kitanda ninachomkujia mwanamke sio ninacholala, mwanamke nikimpenda nampeleka kwangu mapenzi chumba A kulala chumbaB
jamaa yule msenge sana akanambia hata akisafiri hotelini anabeba mashuka yake haijalishi hiyo hoteli ni ya kiwango gani,
watu wakawa wanamsema eti kwenye gari lake kuna seti ta vitambaa bahati mbaya akikupa lifti ukishuka tu anafuta. siku moja nikamwomba anipeleke sehemu nilikuwa nimechelewa kweli kweli mweeee ndani ya gari yake ni zaidi ya nyumba yake. yaan self service ukikaa kwenye gari lake lina sence kuwa una ukosefu wa vitamini mwilini basi wewe ni kubonyeza tu button tu michicha maharage vinatoka unakula siku inaisha
shenzi yule ni msafiiiiii tho hawezi nizidi may be anaweza nizidi vitu vya thamani si unajua bado natafuta ila akiingia kwangu nae ataomba maji ya kunawa mlangoni, ahaaàaaaaa
any away usafi ni kitu kizuri sana ila kuwa makini usiwaboe watu endana na mazingira watu wakiingia kwako hats wakichafua wacha waondoke ndo usafishe tena.