Ogopa ma senior bachelor

Ogopa ma senior bachelor

Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........

Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....

Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....

Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........

Its lots of funny here......

wewe ni MCHOYO!
Hayo yote hayana maana.

Umenitamanisha kinomaaa...
 
acha kwanza nifaidi finyaku.Papuchi tamu mkuu hasa kila siku ukila ya aina tofauti
 
bachelor rankings...

18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.

C&P
Ngoja nihifadhi hii list kwa matumizi ya baadae.
Asante

BTW...Le Mutuz ni Rais wa Field Marshals
 
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........

Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....

Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....

Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........

Its lots of funny here......
Nakuonea tamaa sana kaka
 
bachelor rankings...

18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.

C&P
Yani dah, nilikua sijacheka this weekend, Kwa jinsi ulivyoparangua hao wakongwe...kuanzia sinia bachela mpaka fidimasho. Msiwaonee wazee wa watu jamani, eti sponsor, wanapendezesha wengi hapa town!...nahawana tabu kugongewa na vijana wa mikoani hahahahah

You made my day.
 
Sponsor na waheshimiwe na wadada wote wa mujini....
 
madem wengi wanakuja hom for one night stand hawamini km nipo single.yn kuanzia stting room,kitchen,toilet,bedroom ni km kwa cr7 getto la ukweli kishenzi.Bila kusahau soft drink kwa friji kusema nawagonga dada zenu teh teh napata sana usumbufu kitaa
Wasiliana na Max ulipie hili tangazo
 
bachelor rankings...

18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.

C&P
Senior bachelor
 
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........

Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....

Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....

Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........

Its lots of funny here......

Hujamalizia ukitaka huduma ya kijinsia..unamaliziaga wapi??
 
wewe ni MCHOYO!
Hayo yote hayana maana.

Umenitamanisha kinomaaa...

Karibu sana mpwa
62a624b81f95092830c37e401d42dac0.jpg
 
Kama upo 55+ na unaona ni kawaida, wewe umebarikiwa. Kwa walio wengi huo ni umri mbaya hasa ikianza barehe ya pili kwa mwanaume
Baadhi yao wamekua wakifanya mambo poa sana pamoja na kua ni mabachelor,kwa mfano Rais Ian Khama .wa Botswana yeye bado ni Bachelor,na kulingana na rank za mdau humu jf nadhani atakua ni Field Marshal kwani yule Bwana atakua na miaka isiyopungua 63 kwa sasa,na juzi hapa taasisi ya UN Economic & social Council imemtangaza kuwa ni rais bora kabisa duniani na wamempa uwezekano wa kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa kama akitaka(japo sidhani kama rotation ya mabara itamruhusu) ,kwa hiyo mabachelor wamepata role model.
 
Back
Top Bottom