ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,040
- 128,793
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hatari sana, na nyie mmezidi mizinga ndio maana wanakimbia.Wenyewe ndio wamechagua kuwa hivyo mtani..
Wakiambiwa "bebi utanioa?" wanakimbia kama wameona nini cha hatari.