BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Jitahidi u- deputy usisikuteNina cheo kizuri>Principal Bachelor.
Jitahidi u- deputy usisikuteNina cheo kizuri>Principal Bachelor.
Hujamalizia ukitaka huduma ya kijinsia..unamaliziaga wapi??
Halahala usijejikuta u- sponsor umepiga hodi....... wadada wa mujini watakugombea...fanya uvute jiko MjombaNdio nipo kwenye stage ya mwisho ya ubachela.....
huu sasa ukatili.
Umeamua kuniua kabisa?
![]()
Cc: KikulachoChakoHujamalizia ukitaka huduma ya kijinsia..unamaliziaga wapi??
Itabidi nichukue hatua...Lakini mpwa si nimekukaribisha....au nikutumie nauli...!!??
Halahala usijejikuta u- sponsor umepiga hodi....... wadada wa mujini watakugombea...fanya uvute jiko Mjomba
Hahahah nimekupata Deputy.....Kutokea juu na Kutokea chini, hilo andiko la kati linanihusu aiseee![]()
![]()

Cc: KikulachoChako
Tafadhali kuja huku amigo
Ngoja babu keanu akusikie.....atashusha mistari utashangaa54 yrs............Field Marshall. le mutuz himself
Utasemaje huchagui wakati tayari umeshaweka masharti?Sichagui ila mwanamke mzee sioi.
Bora niendelee kupata vyeo.
Mimi sijui kama nitapata wa kumuoa,,na nikipanda cheo nitaongeza idadi ya Single mothers hata wawili maana hakuna namna sasa.Jitahidi u- deputy usisikute
Hahahahahahbachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Hapa Lemutuz ndiye Rais wa mabachelor, yupo field Marshallbachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Mwanzoni nilisema me...![]()
![]()
![]()
Hii ina apply kwa me na ke?
Ujue mtani huyu mzee mwenzangu huwa anajawa busara sana linapokuja suala la kushauri kuhusu ndoa huku jukwaani...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Dah mtani wanikenja..yani nimecheka balaa.
Usihofu..Imeniuma haswaa...
Ndo naaga usenior kuingia principal Bachelor, na sioni dalili za kustaaf.
Ee mola tenda muujiza.
Ukute fidimasho sampo hii kaingia sehemu ambayo warembo BADILI TABIA na friends wanabarizi, you could see those stares za kisaluti saluti na kujiweka sawa kamanda kaingia...hahaha....life goes onbachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P