Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
How do you find that life..fellow...!!!??
I'm pretty fine. No stress. Just me and my stuffs.
How do you find that life..fellow...!!!??
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
I'm pretty fine. No stress. Just me and my stuffs.
Ndo matatizo ya kutumia Google Translate kutafsiri kiswahili kwenda kwenye yai,nahisi kama na wewe ni mhanga wa hyo zahma.Au labda ulikuwa unafanya trollingHahaha ha ha ha ha huyo jamaa ndiyo wa kwanza kusoma kijjn kwao wanamuona the same thing as the first time in the world of the most important thing to remember that the only way to get the latest version of the most important part of the infection cause by the way you can get the latest news about the position of the following link for more information about your experience with this email address in the next couple things I have been working on a regular contributor to get the best way to go back and forth between the ages of my friends who are not in the world of difference between the two men
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiibachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Mkuu......Hii issue ya senior bachelor, kwanza wengi wao wanajua kupika, ukiongeza maji kidogo kwenye mchele wanajua. Wengi ni wasafi sana, na wamezoea mpangilio wa vitu vyao, wanajua bei ya vitu sokoni, akitoa 10,000 anajua kabisa ni aina gani ya chakula anakitegemea na akitoa 50,000 anajua inaweza kufanyia nini katika mambo ya ndani.....

Na ulivyo mashuhuri kushauri wana ndoa...Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Na ulivyo mashuhuri kushauri wana ndoa...
Huna tofauti na kibao kinachoelekeza njia ambayo chenyewe hakijawahi kupita..
Tuko pamoja mkuu.haya mkuuu...teh teh
Mhhhh....Kuna umri kwa mwanaume lazima awe na mwenzi, la sivyo ni stress tupu zinazoweza kukuharakisha ukamuone muumba.
54 yrs............Field Marshall. le mutuz himselfbachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Upo???...Sichagui ila mwanamke mzee sioi.
Bora niendelee kupata vyeo.
Nimeunganisha hizi comments, then nikajikuta nacheka sana aiseeeMbona hamuishi kumnanga lemutuz
Kama upo 55+ na unaona ni kawaida, wewe umebarikiwa. Kwa walio wengi huo ni umri mbaya hasa ikianza barehe ya pili kwa mwanaume
Ndo matatizo ya kutumia Google Translate kutafsiri kiswahili kwenda kwenye yai,nahisi kama kama na wewe ni mhanga wa hyo zahma.Au labda ulikuwa unafanya trolling

Nipo.Upo???...
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Hii ina apply kwa me na ke?bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Mpwa, nimecheka sana. Msome BADILI TABIA then uniambie una uzoefu kiasi gani...Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......