Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Aaaah angalau hapo nimekuelewa... InshallahNajippikia,najifulia,napiga deki. Ingawa mara moja moja natamani awepo mtu anaenisubiri nyumbani.
Aaaah angalau hapo nimekuelewa... InshallahNajippikia,najifulia,napiga deki. Ingawa mara moja moja natamani awepo mtu anaenisubiri nyumbani.
hahha kupokelewa ilikuwa zamani... sa hizi utamkuta busy anamalizia series yake ya kikorea!!! labda kwa watoto kidogo kunashawishiAaah hiyo ya muhimu, ila kurudi kazini afu kuna mtu anakupokea + ndo Na vitoto hapo "babaaa", rahaje
Haha haha Acha hizo. Wawili si sawa na mmoja,hahha kupokelewa ilikuwa zamani... sa hizi utamkuta busy anamalizia series yake ya kikorea!!! labda kwa watoto kidogo kunashawishi
Such a lonley life!
bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Haha haha Acha hizo. Wawili si sawa na mmoja,
KaribuAlaa kumbe! nilikua sijaijua hii duh akhsante sana
Mtu hata ukipatwa na homa kali wakukupa panadol huna au wakukupikia supu shaaa....fikira tu za upweke homa inazidi maradufu....we all need some companionship at the end wazungu wanakuwa japo mbwa lol akifa humo ndani jibwa laweza lipeleke ujumbe japo kwa jirani!Hahaha, ndio kama hivi mpwa wangu KikulachoChako anaji-brendia zake juice ya embe, huku amepika ndizi nyama, anajisomea majarida ya upishi....
....![]()
![]()
![]()
mpwa usiniue...
Aaah wewe si bado bado buana tehmuda wa wawili utakuja badae huko 🙂🙂...
Mtu hata ukipatwa na homa kali wakukupa panadol huna au wakukupikia supu shaaa....fikira tu za upweke homa inazidi maradufu....we all need some companionship at the end wazungu wanakuwa japo mbwa lol akifa humo ndani jibwa laweza lipeleke ujumbe japo kwa jirani!
HahahahhahahahAnaanzia 30yrs mkuu.
Hebu jiulize wanaume tofauti wamemgaragaza tangu 15-29yrs hadi kuwa skrepa kabisa.
tishaa Sana'a mkuuTena kama una bahati utaambiwa chakula kiko kwenye fridge upashe kwenye microwave.hahha kupokelewa ilikuwa zamani... sa hizi utamkuta busy anamalizia series yake ya kikorea!!! labda kwa watoto kidogo kunashawishi
hahha hivi enh... na ntakuja uko unipe binamu, sitaki damu iende mbaliAaah wewe si bado bado buana teh
Talking from experience upweke sio kiviile ingawa sometimes unatamani angekuwepo mtu. Ila kuumwa ni serious issue.Mtu hata ukipatwa na homa kali wakukupa panadol huna au wakukupikia supu shaaa....fikira tu za upweke homa inazidi maradufu....we all need some companionship at the end wazungu wanakuwa japo mbwa lol akifa humo ndani jibwa laweza lipeleke ujumbe japo kwa jirani!
hahha hapo ndo unajua kukosea kuoa ni zaidi ya ugonjwa!!!Tena kama una bahati utaambiwa chakula kiko kwenye fridge upashe kwenye microwave.
Mtu hata ukipatwa na homa kali wakukupa panadol huna au wakukupikia supu shaaa....fikira tu za upweke homa inazidi maradufu....we all need some companionship at the end wazungu wanakuwa japo mbwa lol akifa humo ndani jibwa laweza lipeleke ujumbe japo kwa jirani!
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Hahaaaa...vitu petty sana...eti chumba changu,sijui kujipikia,etc...ni vitu vidogo vidogo kwenye maisha...utaacha kufikiria majukumu makubwa ya kua kama Bill Gates unawaza leo nikanunue nyama duka gani?Au kuosha jikoni?
Nigga plzzzz....oa ,cheo hicho muachie mkeo...fanya yanayokuhusu kama baba...sio kuoa ni paradiso,no way,unaishi kwa maridhiano,na pia sio lazima uoe,ila kazi za jioni weka mtu,usafi weka mtu...bakia na jukumu moja la kusolve world problems
Bora mara 100 kuitwa mchawi kuliko kupata stress kutoka kwa hawa wanawake wa sikuhizi.Kwa ufupi ni wabinafsi ndio maana hawataki kuoa...
Ukivunja glass au kikombe utatolewa mimacho...
Labda wale ambao wanaishi na ndugu...
Lakini ukute mtu ana pesa na kila kitu afu anaishi mwenyewe kama mchawi..ni mchoyo bhaas...