Ogopa ma senior bachelor

Ogopa ma senior bachelor

Hivi ile movie ya zamani ya huyu jamaa aliigiza amewekwa kwenye chupa na mkewe mwishoni akageuka mbwa inaitwaje, naitafuta ila siijui jina. tafadhali kwa anaejua anijuze,
NB: samahani kwa kufungua thread ndani ya comment
Suicide Mission, I think so...!
 
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........

Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....

Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....

Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........

Its lots of funny here......

MKUU,

UNA UMRI GANI?
 
bachelor rankings...

18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.

C&P
Hivi nishakuwa senior Bachelor........!!!! Wacha nitafute mke sasa.
 
Bora mara 100 kuitwa mchawi kuliko kupata stress kutoka kwa hawa wanawake wa sikuhizi.
Wewe ungekuwa wa zamani si ungeoa toka Zamani? Wanawake wa siku hizi wako hivi walivyo kwasababu ya wanaume wa siku hizi, Cut us some slacks mannnnn, ua no different at all.
 
Mimi nilikutana na 49-53 sponsor lkn yeye gharama za kushtukiza alikuwa hazitaki kabisa.
Nakajisogeza mbele mapema sikuona sababu yakupoteza muda.
 
Ndio maana kumbe ukiwa huna mke hupewi majukumu kama ya Urais na vyeo vingine vikubwa...
Kama unaogopa kuongoza taasisi ndogo kama familia hakuna utakachoweza kuongoza...

Wanawake hawahusiki kwenye hii lawama maana wao huolewa...
hawana uamuzi sana kuwa single...
waoaji wenyewe ndio hawa; hawataki majukumu...
 
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall

namuona boss wangu palee???????????? kwenye sponsor na mpenzi wangu paleee kwenye u deputy
 
bachelor rankings...

18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.

C&P
umetisha
 
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........

Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....

Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....

Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........

Its lots of funny here......
It's lot of funny but ur alone...
 
Shukurani zikufikie popote ulipo but no man!!!! Wote tunapenda kusoma kuongeza maarifa, kusikiza mziki nyororo nani ataosha vyombo, Endelea mpk ufike Field Marshall

Kwa jinsi ulivyoonyeshwa kuguswa na suala langu la kutokuoa....sikudhani kama ungenikatalia ombi langu.....
 
Nilikutana na sponsor alinieleza nimsubiri atafute pesa anioe.😕😕😕
 
Back
Top Bottom