Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 688
Jaman, jaman, jaman, dunia imekwisha.
Hapa ofisini kwetu kuna wafanyakazi wasiozidi 20, mkurugenzi ni mwanamke wa makamo ya kati kama 42-45 hivi, ni mzuri wa kawaida sema pesa zimemfanya aonekana kabinti na mrembo balaa.
juzi rafiki yetu kinda wa miaka 29 alikuwa huku jf akitafuta mwenza ahahahaha huku na huku, huku na huku niPM PM zikaendelea sana mpaka mida ya jioni, kutambulisha wote wakadanganyana mwingine nafanya NSSF mwingine TMf hahahahaha kisha wakapanga kuonana kwenye hotel fulani hapa mjini ee bana, tena secret mazingira mh! muda ulipofika kila mtu anapiga hatua kuelekea sehemu husika kufika hivi mweeee boss na mfanyakazi wake hahahahahah
hakuna aliyeongea wala neno moja wala kusalimiana wala nini kila mtu alipotea faster kujificha, sasa boss amenuna sana kwa kinda wetu kinda kachizi hapa anawaza kuandika barua ya kuacha kazi kwakweli boss wetu anaheshimika na anatuheshimu sana.
ushauri plz dogo aache kazi asisubiri kufukuzwa au akauke?
#majanga 2013
huyo mjinga eeeeeh ameshindwa kuunga angefumua tu maungo kesho boss mtoto ka sio kaimu boss?
ila naamini hii ni stori ya kufikirika katika kupereka muda...