Ofisini kwetu kimenuka ushauri wa faster plz.

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
951
Reaction score
1,050
Jaman, jaman, jaman, dunia imekwisha.
Hapa ofisini kwetu kuna wafanyakazi wasiozidi 20, mkurugenzi ni mwanamke wa makamo ya kati kama 42-45 hivi, ni mzuri wa kawaida sema pesa zimemfanya aonekana kabinti na mrembo balaa.

juzi rafiki yetu kinda wa miaka 29 alikuwa huku jf akitafuta mwenza ahahahaha huku na huku, huku na huku niPM PM zikaendelea sana mpaka mida ya jioni, kutambulisha wote wakadanganyana mwingine nafanya NSSF mwingine TMf hahahahaha kisha wakapanga kuonana kwenye hotel fulani hapa mjini ee bana, tena secret mazingira mh! muda ulipofika kila mtu anapiga hatua kuelekea sehemu husika kufika hivi mweeee boss na mfanyakazi wake hahahahahah

hakuna aliyeongea wala neno moja wala kusalimiana wala nini kila mtu alipotea faster kujificha, sasa boss amenuna sana kwa kinda wetu kinda kachizi hapa anawaza kuandika barua ya kuacha kazi kwakweli boss wetu anaheshimika na anatuheshimu sana.

ushauri plz dogo aache kazi asisubiri kufukuzwa au akauke?

#majanga 2013
 
Sasa ninj kinamfanya aache kazi wakati wote wana shida ya aina moja,binafsi sijaona kosa lake mi nafikiri akomae tena ikibidi aendeleze na alichokuwa anahitaji.
 
Sasa ninj kinamfanya aache kazi wakati wote wana shida ya aina moja,binafsi sijaona kosa lake mi nafikiri akomae tena ikibidi aendeleze na alichokuwa anahitaji kama anampenda.
 
Jinga sana huyo dogo kwanini hakula mzigo?????
angepandishwa cheo...

angeanzaje? hakuna aliyekuwa jasiri wa kuanza, hayakuwa maeneo ya kulia mzigo ni chumba tu kama cha faragha waliomba kunako hotel na kisha kuanza kuelekezana
 
Sasa ninj kinamfanya aache kazi wakati wote wana shida ya aina moja,binafsi sijaona kosa lake mi nafikiri akomae tena ikibidi aendeleze na alichokuwa anahitaji kama anampenda.

boss wetu hatabiriki ni mkali balaa kijana anaogopa akifukuzwa CV yake itakuwa mbovu
 
Jaman, jaman, jaman, dunia imekwisha.
Hapa ofisini kwetu kuna wafanyakazi wasiozidi 20, mkurugenzi ni mwanamke wa makamo ya kati kama 42-45 hivi, ni mzuri wa kawaida sema pesa zimemfanya aonekana kabinti na mrembo balaa.

juzi rafiki yetu kinda wa miaka 29 alikuwa huku jf akitafuta mwenza ahahahaha huku na huku, huku na huku niPM PM zikaendelea sana mpaka mida ya jioni, kutambulisha wote wakadanganyana mwingine nafanya NSSF mwingine TMf hahahahaha kisha wakapanga kuonana kwenye hotel fulani hapa mjini ee bana, tena secret mazingira mh! muda ulipofika kila mtu anapiga hatua kuelekea sehemu husika kufika hivi mweeee boss na mfanyakazi wake hahahahahah

hakuna aliyeongea wala neno moja wala kusalimiana wala nini kila mtu alipotea faster kujificha, sasa boss amenuna sana kwa kinda wetu kinda kachizi hapa anawaza kuandika barua ya kuacha kazi kwakweli boss wetu anaheshimika na anatuheshimu sana.

ushauri plz dogo aache kazi asisubiri kufukuzwa au akauke?

#majanga 2013

ina maana kama walikuwa wanarushiana PM humu JF huu umbe.a uliondika kwa niaba ya huyo rafiki yako wa miaka 29 unafikiria utaleta nini? kwa maana nyingine huyo bosi wake ataona hii thread na moja kwa moja atajua dogo ni mbe.a hawezi kutunza siri na anauliza kuwa aache kazi au la...kwa hivo he will be fired automatically!!!
 
usifikiri aliyepost ni kichaa
 
Hivi kumbe kujitangaza JF unatafuta 'mwenza' sijui wakuPM...watu wanaopoa kweli!! Pole zake huyo mwanaJF bahati mbaya sina ushauri juu yake..
 
watu wanakula mizigo
 
Kama ni kweli mwambie amefanya kosa kutafuta ushauri huku JF kwani hata bosi wake atakuwa akifuatilia na atajua kuwa siri imefichuka. Angekauka tu.
 
angeanzaje? hakuna aliyekuwa jasiri wa kuanza, hayakuwa maeneo ya kulia mzigo ni chumba tu kama cha faragha waliomba kunako hotel na kisha kuanza kuelekezana

Simba pamoja na ukali wake.....
nungunungu pamoja na miba yake.....
hapo kwenye red aibu sana mtoto wa kiume kujiuliza hivo!!!!!
 
Jaman, jaman, jaman, dunia imekwisha.
Hapa ofisini kwetu kuna wafanyakazi wasiozidi 20, mkurugenzi ni mwanamke wa makamo ya kati kama 42-45 hivi, ni mzuri wa kawaida sema pesa zimemfanya aonekana kabinti na mrembo balaa.

juzi rafiki yetu kinda wa miaka 29 alikuwa huku jf akitafuta mwenza ahahahaha huku na huku, huku na huku niPM PM zikaendelea sana mpaka mida ya jioni, kutambulisha wote wakadanganyana mwingine nafanya NSSF mwingine TMf hahahahaha kisha wakapanga kuonana kwenye hotel fulani hapa mjini ee bana, tena secret mazingira mh! muda ulipofika kila mtu anapiga hatua kuelekea sehemu husika kufika hivi mweeee boss na mfanyakazi wake hahahahahah

hakuna aliyeongea wala neno moja wala kusalimiana wala nini kila mtu alipotea faster kujificha, sasa boss amenuna sana kwa kinda wetu kinda kachizi hapa anawaza kuandika barua ya kuacha kazi kwakweli boss wetu anaheshimika na anatuheshimu sana.

ushauri plz dogo aache kazi asisubiri kufukuzwa au akauke?

#majanga 2013

Mh! Hii si stori ya kutunga kweli?!
 
Simba pamoja na ukali wake.....
nungunungu pamoja na miba yake.....
hapo kwenye red aibu sana mtoto wa kiume kujiuliza hivo!!!!!

silence mbaya maana hata kama ni gari unaweza kuipisha kumbe haiendi
 
possibility ya hii story kuwa fake ni kubwa...wakutane JF, watwangane ma-PM humu humu, halafu eti dogo amweleze rafiki yake aje hapa kumuombea ushauri...kweli???kwan yeye hajui kuitumia JF mpaka amtume mleta mada..?

mi mwenyewe nshaiona ni story ya kahawa....
naasume tu nipo kijiweni hapa!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom