Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
ngoja mi niendelee kucheza
bao, najiandaa kwa mashindano!!
Evelyn Salt njoo tuendelee huku na bao khaaaa!!
Last edited by a moderator:
ina maana kama walikuwa wanarushiana PM humu JF huu umbe.a uliondika kwa niaba ya huyo rafiki yako wa miaka 29 unafikiria utaleta nini? kwa maana nyingine huyo bosi wake ataona hii thread na moja kwa moja atajua dogo ni mbe.a hawezi kutunza siri na anauliza kuwa aache kazi au la...kwa hivo he will be fired automatically!!!
possibility ya hii story kuwa fake ni kubwa...wakutane JF, watwangane ma-PM humu humu, halafu eti dogo amweleze rafiki yake aje hapa kumuombea ushauri...kweli???kwan yeye hajui kuitumia JF mpaka amtume mleta mada..?
ngoja mi niendelee kucheza
bao, najiandaa kwa mashindano!!
Evelyn Salt njoo tuendelee huku na bao khaaaa!!
Na hatutaki kocha kwenye bao letu
Jaman, jaman, jaman, dunia imekwisha.
Hapa ofisini kwetu kuna wafanyakazi wasiozidi 20, mkurugenzi ni mwanamke wa makamo ya kati kama 42-45 hivi, ni mzuri wa kawaida sema pesa zimemfanya aonekana kabinti na mrembo balaa.
juzi rafiki yetu kinda wa miaka 29 alikuwa huku jf akitafuta mwenza ahahahaha huku na huku, huku na huku niPM PM zikaendelea sana mpaka mida ya jioni, kutambulisha wote wakadanganyana mwingine nafanya NSSF mwingine TMf hahahahaha kisha wakapanga kuonana kwenye hotel fulani hapa mjini ee bana, tena secret mazingira mh! muda ulipofika kila mtu anapiga hatua kuelekea sehemu husika kufika hivi mweeee boss na mfanyakazi wake hahahahahah
hakuna aliyeongea wala neno moja wala kusalimiana wala nini kila mtu alipotea faster kujificha, sasa boss amenuna sana kwa kinda wetu kinda kachizi hapa anawaza kuandika barua ya kuacha kazi kwakweli boss wetu anaheshimika na anatuheshimu sana.
ushauri plz dogo aache kazi asisubiri kufukuzwa au akauke?
#majanga 2013