Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Waliambiwa wavute kwa siri sasa mtoko utakuwa hivi
FB_IMG_1555107194979.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza huyo mukandarasi bado yuko site au kashatembea?
 
Na Waziri mzima anavaa bib juu ya suti akiwa site? What a poor dressing culture!

1073328
 
Wacha tunyooshane tu,kitaeleweka.Huu mwendo tungeanza nao tokea zamani tungekuwa mbali sana,hakuna maendeleao rahisi...
 
APO OSHA WAWAELEKEZE MAVAZI YA KUFANYIA KAZI MAZINGIRA AYO
"KOFIA NGUMU NI LAZIMA"
saidia kuorodhesha mengine
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom