Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Yeye mbona hajaamia dodoma..anasubiri nini...alafu yeye akiulizwa kwanini hajaamia anasema sababu mama yake mgonjwa...kwanini huyo mama ake mgonjwa asimwamishie huko dodoma??
 
Mambo ya kijinga kabisa hayo sasa wamefanya hivyo ili iwe nini hivyo mambo mengine inabidi ufikirie siyo kila unachoambiwa unafanya tu ili mradi kisa Rais amesema wakati mwingine ni kauli anatoa ili muongeze kasi ya utekelezaji kwa viwango siyo ili mradi. Sasa hizo ofisi kweli uwaweke watu hapo na jua la Dodoma lilivyo kutakuwa na utendaji kazi kweli humo, mwekezaji wa kiwanda cha 2b kwa mfano naye aingie kwenye ofisi ya mabanda kweli tuko serious hivi walifikiria impact ya hicho walichofanya?

Viongozi wetu wana tatizo mahali siyo bure
 
Back
Top Bottom