Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Kambi ya wakimbizi au? Alafu TAMISEMI si ipo ofisi yake....OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA...kuna tatizo mahala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuumwa kwa mama wa rais kuna mzuiaje rais kuhamia Dodoma??!! Mbona shughuli nyingine zote anazifanya inakuwaje kuhamia Dodoma inakuwa ni mpaka mamake apone?!
 
Kuna mmoja kavua kiatu at least kuna carpet la uhakika

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app
..tuoneshe na ndani kukoje
 
Kwa Tamisemi ndio mnasema sheria za safety haziruhusu mazingira kam hayo kufanyia kazi,Kwa walimu mnaonaga sawa tu na dharau nyiiingiiiii.....
Kuna tofauti kati ya shule ambazo majengo yake ni below average na hiyo ofisi ya TAMISEMI.

Ukiangalia vizuri hizo zinazoitwa ofisi clearly ni sehemu ambazo wajenzi walikuwa wanatumia kama storage humo ndani kuna mbao na misumeno clearly watu bado wanaingia na kutoka.

Isitoshe the whole area is still a building site and hazards everywhere kuna vipande vya matofali kila sehemu njiani na mabati yenyewe yamepigiwa misumari tu hapo sanasana unataka bibi zetu waende kujikwaa tu au waangukie na majengo yenyewe hili kwakweli hapana.
 
Ni uzuzu wa haļi ya juu sana huu

Kama busaŕa hakuna, Hivi hata common sense inashindwa kutumika kweli?
 
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama wa nyaraka za ofisi utakuwaje, computer zitafanyaje kazi, sidhani kama kuna umeme kwenye hayo mabanda!
 
Ukichanganya bangi ya Njombe na kichaa asilia unapata jibu! Mwenyezi mungu atunusuru.
 
Mfano hako kakibanda kibaka akavamie halafu akatie kiberiti itakuwaje sasa
 
Watanzania tubadilike.Muheshimiwa Rais hatanii.Na hawa walidhani ni kama zama zile za kuchekeana chekeana.Kwa hili ninamsapoti JPM 100% wakae hapo hapo site mpaka wamalizie jengo lao
 
Back
Top Bottom