Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app
utoto tu huu..
 
Acheni kudeka deka, hapo wanawasha generator kubwa moja, wanaweka feni, na turubali kama zile za kwenye sherehe nyeupe kubwa, wakae humu humu hadi jengo likamilike, si hela walipewa muda kwanini speed ya ujenzi tokea last year iwe ndogo hivyo? Watu bado hawajabadilika kabisa, watafute kila means wahamie huko huko. Itakuwa funzo kwa wengine.. Safii safii kabisa
 
Sifa za kijinga hizo!!! Na utakuta tatizo ni jiwe mwenyewe, kutopereka pesa kwa wakati na kutumia hao wakandarasi ambao hakuna mchakato wa tender!! Leo anataka kuonekana shujaa!!!
Wizara zote zilipewa bilioni 1.
Mh. Jaffo aliamua kujenga jengo la ghorofa ila ujenzi umechelewa kukamilika.
Sababu sio pesa mkuu ghorofa linahitaji muda kidogo tofauti na jengo la kawaida.
 
hawa tamisemi wamezingua wenyewe.. hela wameshapewa za ujenz.. wizara zingine zimeshamaliza ujenz na zimeshahamia.. ndio maana magu kawakazia
 
Mbona nayaona majengo hayo ni madogo sana. Kweli yatawatosha watumishi wote wa kila Wizara.
 
kwa masijala kama hiyo si ndiyo mwanzo wa kupoteza nyaraka na mafaili ya watu??? wonders will never end!:rolleyes::rolleyes:
 
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha wanazochezea Wanapata wapi? Miradi vijijini haipati fedha lakini Wizara hii inabebwa kwa mbeleko.
 
Hivi haya ni masikhara au reality? Kama ni kweli basi vyema tu maana kuna watu ofisi zao ni chini ya mti na maisha yanasonga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom