Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Ofisi za muda za TAMISEMI Dodoma

Mambo ya kijinga kabisa hayo sasa wamefanya hivyo ili iwe nini hivyo mambo mengine inabidi ufikirie siyo kila unachoambiwa unafanya tu ili mradi kisa Rais amesema wakati mwingine ni kauli anatoa ili muongeze kasi ya utekelezaji kwa viwango siyo ili mradi. Sasa hizo ofisi kweli uwaweke watu hapo na jua la Dodoma lilivyo kutakuwa na utendaji kazi kweli humo, mwekezaji wa kiwanda cha 2b kwa mfano naye aingie kwenye ofisi ya mabanda kweli tuko serious hivi walifikiria impact ya hicho walichofanya?

Viongozi wetu wana tatizo mahali siyo bure
Wameshindwa Ku apply kauli ya JK, akili za kuambiwa,changanya na zako.
 
Acheni kudeka deka, hapo wanawasha generator kubwa moja, wanaweka feni, na turubali kama zile za kwenye sherehe nyeupe kubwa, wakae humu humu hadi jengo likamilike, si hela walipewa muda kwanini speed ya ujenzi tokea last year iwe ndogo hivyo? Watu bado hawajabadilika kabisa, watafute kila means wahamie huko huko. Itakuwa funzo kwa wengine.. Safii safii kabisa
Huoni kuwa kwa kuhamia ujenzi utasimama!!!!pia no risk kwa watumishi na wateja wao!!!!?
 
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwamba ni hatari sana kuhamia kwenye pagale, kisheria huwezi kuingia eneo la ujenzi bila ruhusa ya Mkandarasi, na ni kwa muda tu ukiwa umevaa helmet ili usidondokewe na vyuma au mbao au milunda, huwezi kusema eti nahamia humu - pamoja na yote hayo, hawa jamaa hawajatekeleza agizo la MHESHIMIWA RAIS MAGUFULI. WAMEAMRIWA KUHAMIA KWENYE PAGALE, sasa wao wamejenga hayo mabanda ya mabati!

Poleni sana, ndie rais tuliyenaye ambaye mwenyewe anajiita kichaa. anahitaji huduma ya MIREMBE
 
Hili ndilo Jiwe haswa
Hapo usiku panya anatimba masijala abatafuna file zote dadeki.....
Hapo bado hawajatembelewa na nyoka kifutu au moma. Maana nyoka akipita hapo atahalalisha kabisa kwamba hii maskani ni saizi yake, na hao wataonekana ni wazamiaji. itabidi wasubiri huruma za nyoka
 
Kwani Tamisemi si walishakuwa na ofisi toka siku nyingi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli TAMISEMI wana ofisi hapo jiji la Dodoma tangu siku nyingi, na wizara zingine zimehifadhiwa kwenye majengo mbalimbali hapo jiji la Dodoma. Kinachotakiwa na serikali ni kuwa na "mji mdogo wa Serikali" ambako ofisi za mawaziri, makatibu wakuu, na manaibu katibu wakuu na wakurugenzi watafanyia kazi. Hilo ndilo eneo lililozinduliwa wiki iliyopita, wizara zingine zote zinekamilisha ujenzi wa ofisi zao katika eneo hilo, TAMISEMI bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss moyafricatz Huu Ni UTANI aisee.
Wakiambiwa ... Wale ... Mavi ... Watakula??? !!!
Au watembee ... UCHI??? Watatembea ??? !!!
Hata hawajali USALAMA wao,
Hata hawajali AFYA zao,

Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli TAMISEMI wana ofisi hapo jiji la Dodoma tangu siku nyingi, na wizara zingine zimehifadhiwa kwenye majengo mbalimbali hapo jiji la Dodoma. Kinachotakiwa na serikali ni kuwa na "mji mdogo wa Serikali" ambako ofisi za mawaziri, makatibu wakuu, na manaibu katibu wakuu na wakurugenzi watafanyia kazi. Hilo ndilo eneo lililozinduliwa wiki iliyopita, wizara zingine zote zinekamilisha ujenzi wa ofisi zao katika eneo hilo, TAMISEMI bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa msemaji wa TAMISEMI tumekuskia

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio site mkubwa sehem fulani hivi tulijaa hadi tukahamishiwa nyumba kama hizo ila sema ile haikuwa kihasara kama hizo hapo ile ilikuwa ni og nadhani ilijengwa na wajerumani maana ndani ilikuwa na umeme na kwenye ukuta kwa ndani kuna plastic fulani waliweka na siling bord kiasi kwamba ndani haga jua liwake vipi hulisikii
We lazima utakua mtu wa ma-Site!
 
Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuahamia hivyo hivyo
View attachment 1072478

HatariiiView attachment 1072336View attachment 1072337View attachment 1072338View attachment 1072339

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni uchizi wa kiwango cha kamongo! Siku wakiambiwa na huyo "mungu" wao wale vinyesi watakula huku wakimshukuru na kumsifia kua ni mbunifu!
 
Sio site mkubwa sehem fulani hivi tulijaa hadi tukahamishiwa nyumba kama hizo ila sema ile haikuwa kihasara kama hizo hapo ile ilikuwa ni og nadhani ilijengwa na wajerumani maana ndani ilikuwa na umeme na kwenye ukuta kwa ndani kuna plastic fulani waliweka na siling bord kiasi kwamba ndani haga jua liwake vipi hulisikii
Pole mkuu, yote maisha!
 
Back
Top Bottom