Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoi-post dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
CCM mbona zao hazichomwi?Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
CCM ina mbinu zote za kishetani. Hii ni mojawapo. Kijana, Mbeya ni pagumu kwa hawa mashetani wa lumumba. Kuchoma moto ofisi ndio mbinu iliyobaki; kama ilivyofanyika kule Arusha, napo ni pagumu kweli kweli kwa mashetani wa kijani kutoka lumumba.Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
CCM mbona zao hazichomwi?
CHADEMA mmezidisha upole ndiyo maana hadi nape alikuwepo anasema atapiga mtu buti.
ivi nape anaweza kumpiga ata mkewake kweli?
Hii sasa janjajanja, watu watawazoea baadae. Balozi na atoe tena tamko, maana it's highly likely an orchestrated move.Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.
View attachment 1541770
Hahah Nape na lile tumbo lake nimeshangaa kuona eti na yeye anapiga mikwara.CCM mbona zao hazichomwi?
CHADEMA mmezidisha upole ndiyo maana hadi nape alikuwepo anasema atapiga mtu buti.
ivi nape anaweza kumpiga ata mkewake kweli?
Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
Wewe ------- hujui ulisemalo, Tayari vijiwe vyote washawatambua hao CCM waliopewa hela ya ubwabwa kuchoma ofisi Moto,halafu unakuja na dela lako kuongea utopolo wako hapaHizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....