Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Mkuu ningekutukana ila nimekuwa kimya kwasababu upande ule wa msimbazi nakuheshimu na tunakutana sana kule
Kuna mwanachadema humu alisema wazi ujio wa Lissu Mbeya kutalipuka.
Mnachoma moto wenyewe mpate kiki za kisiasa.
Hovyo sana nyumbu wa Ufipa.
 
Viofisi vya hovyo achome CCM uwii mbavu zangu mimi.wamenogewa na tangazo la Marekani Sasa wanataka watoe tamko Tena !!!

Jamani balozi za nje zijiongeze akili CIA take over to verify msije onekana wapumbavu kea ku feed serikali zenu ujinga.It is unfair to feed your government garbage!!!

Weledi wenu wa miaka ya 60 na 70 umepotelea wapi? serious mwaweza feed serikali zenu kuwa kile kiofisi Cha Chadema Arusha na hicho kiofisi Koko Cha Mbeya kimechomwa na CCM ? CIA you are destroying your credibility .You need to overhaul you agents in Tanzania They are not doing their homework

Dada kaa kwa kutulia, mbona unarukia CIA kabla ya polisi wenu.

Ziko wapi ripoti za uchunguzi uchwara wa policcm japo kuwatia nguvuni chadema wanaojichomea na kuzusha!!
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.

Police wawakamate basi
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Hii kiki imechuja sasa watafute nyingine
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Wewe usiwe mjinga kiasi hiki, kunavitu huwezi kukanusha hata kama unamashetani. Huwezi kuliona hili kuwa Ni wanna ccm wanaohujumu chadema? Hatakama wewe Ni mwanaccm, kwenini usijaribu kuitii dhamira yako? Najua dhamira yaka inakushudua ukweli, halafu unaizima kwa kutanguliza mapenzi yako kwa ccm. At least for once mjitahidi kuwa wakweli.
 
Chadema hawana uwezo wa kuchukua uongozi wa nchi maana hata maadili tu hawana. Wabunge waliowahi kufungwa ndiyo ofisi zao zinachomwa. Mbona hatujasikia kwa wakurya kule musoma ambako ndiyo wababe wanaofahamika???.
 
Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya kiongozi wa CHADEMA, Parick Ole Sosopi aliyoitoa dakika chache zilizopita asubuhi ya hii.

View attachment 1541770
Yanachomwa mapazia ila nyaraka zinabaki...huu moto uliotumika hapa ni wa kisasa kabisa! Kama unaweza kuchagua vitu vya kuunguza. Mleta mada ebu toa ufafanuzi wa kueleweka wa nini hasa kilitokea!?
 
Nyie Chadema naona time ya kupelekwa mirembe imefika. Hizi Offici zinachomwa wakati anapokuja Lissu tuu, kama ni CCM kwanini wasichome sikuzite hizo ila wangoje mpaka uchaguzi unapokaribia na ujio wa Lissu. Unapoambiwa kitu changanya na akili zako.
 
Walimdanganya anapendwa na Watanzania, wakamdanganya CDM imekufa, naona haamini na alivyo na roho ya kutu sidhani kama analala.
 
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
Kama ni hivyo kwanini hawafungwi au hawafunguliwi mashtaka ?
 
Chadema hawana uwezo wa kuchukua uongozi wa nchi maana hata maadili tu hawana. Wabunge waliowahi kufungwa ndiyo ofisi zao zinachomwa. Mbona hatujasikia kwa wakurya kule musoma ambako ndiyo wababe wanaofahamika???.
Kwanini CHADEMA hawana uwezo wa kuchukua inchi???!! Kwasababu sio watanzania? Au ni kwasababu sio wasomi? Ama unajisemea hivi kwasababu mnajua hakutakuwa na uchunguzi huru na wahaki?? Tangazeni matokoea halali muone kitakachotokea.
 
Back
Top Bottom