Ofisi ya CHADEMA Mbeya yachomwa moto usiku wa kuamkia leo

Ukiangalia historia ya tabia za wabunge walio maliza muda wao katika majimbo ofisi zilipo chomwa utapa fununu ya hii hila ya kuchoma ofisi za chama. Wote wanatabia za kihunihuni, kukosa maadili katika malezi yao na ubabe wa kijinga. Kama hii picha ilivyo kamoto kenyewe ni kakishikaji kwa ajili ya attention seeking tu.
 
Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
Wewe ni mpumbavu na inaonyesha ni upumbavu wa kurithi.
Mwenye mamlaka ya kufanya uchunguzi kumjua mchomaji ni polisi na wako chini ya CCM inayotuhumiwa kuhusika, kwa nini hawakamati hao Chadema wanao choma ofisi zao wenyewe?
Hivyo narudia tena HOJA yako ni ya kipumbavu sana, kama ile mliyokuwa mnasema Lissu kajipiga risasi mwenyewe.
Malabuku!
 
Hizi ni akili za kinyumbu nyumbu za CDM, CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CDM ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu....
Leta ushahidi 'nyapa' wewe!
 
Viofisi vya hovyo achome CCM uwii mbavu zangu mimi.wamenogewa na tangazo la Marekani Sasa wanataka watoe tamko Tena !!!

Jamani balozi za nje zijiongeze akili CIA take over to verify msije onekana wapumbavu kea ku feed serikali zenu ujinga.It is unfair to feed your government garbage!!!

Weledi wenu wa miaka ya 60 na 70 umepotelea wapi? serious mwaweza feed serikali zenu kuwa kile kiofisi Cha Chadema Arusha na hicho kiofisi Koko Cha Mbeya kimechomwa na CCM ? CIA you are destroying your credibility .You need to overhaul you agents in Tanzania They are not doing their homework
 
Chalamila nae ni kirusi hapo Iringa ni baadhi ya watumishi waliopata fadhila za kuteuliwa na Rais ila wanachofanya sidhani kama watabaki salama wakati wakiondolewa madarakani maana Mahakama zitajaa kesi nyingi za viongozi waliopita
 
Hivi makampuni ya ulinzi si yapo? Kuweka walinzi kuna shida gani? Online CCTV camera si zipo jamani, kufunga inashindikana vipi?
 
Sabaya alipanga vijana wa kushambulia msafara wa Chadema kutokana na laana ya damu inayomwanadama ktk damu yao.

Chalamila atakuwa anajua hili la kuchomwa moto ofisi ya CDM kutokana na fikra na dhambi ya udhulumati iliyopo ktk damu yake.
 
Mkichoma ofisi zenu kwajili tu ya kumpokea mgombea wenu ili mpate watu, wakati kampeni mta choma nini??
 
Hivi makampuni ya ulinzi si yapo? Kuweka walinzi kuna shida gani? Online CCTV camera si zipo jamani, kufunga inashindikana vipi?
Wasipo choma ofisi zao hakuna mtu ata kwenda kumpokea mgombea. Wamepata mtaji sasa
 
CCM ndo tabia zao ,msafara wa lissu ulipovamiwa kilimanjaro mlisema hivo hivo baadaye kijana wa uvccm alipotengeliwa kiuno ndo mnatoa macho siri kujulikana ,mashetani wakubwa CCM mnatangaza siasa za vita za hii mnakunywa wenyewe
CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.
 
Magufuli punguza uoga , kama umejenga daraja si usubiri yaje yakupigie kampeni, pia hela za Tetemeko Bukoba.

CCM au Magufuli hahitaji kuchoma ofisi ya CHADEMA ili kushinda uchaguzi wowote, interesting part ni wanachoma wenyewe siku moja kabla Lissu hajafika huo mkoa, hii kiki wanategemea itampandisha Lissu, upuuzi mtupu.

Shida CCM wanaamini kuchoma majengo ndio kudhoofisha CDM... Baada ya mbinu yao ya kununua mamluki kufeli wameona waje na mbinu chafu nyingine...

Wasubiri flyover, zahanati na barabara ziwapigie kura...
 
Back
Top Bottom