Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Ni habari katika gazeti Tanzania daima. Sijafanikiwa kulisoma bado ila kama kuna aliyelisoma atudokolee tafadhali
 
kwani huyajui magazeti ya TZ?? nunua halafu uone habari ya ndani ndiyo utajua kwanini kipara hakinyolewi
 
nazani ameitumia sanaa kama ilivyo yani akimaanisha kunamtu anaelekea kuwa king'ang'anizi madalakani kama Mugabe..
 
nazani ameitumia sanaa kama ilivyo yani akimaanisha kunamtu anaelekea kuwa king'ang'anizi madalakani kama Mugabe..
Exactly thinking the same way ...kuna dubwasha linaupeleka uchumi wetu level za Zimbabwe
 
Msanii roma mkatoliki katika nyimbo yke mpya aliyotoa wiki iliyopita ametueleza vitu ving kuhusu nchi yetu ya Tanzania. Naweza nisiwe sahihi lakin kwa mimi nilivyoelewa ngoja niwashirikishe
1. Kwanza roma kachagua nchi ya zimbabwe ambayo kimsing ni kama nchi ya dictatorship ambaye mugabe anatawala kwa mabavu lakin yy binafsi anaona ni mara mia kuish zimbabwe kuliko Tanzania kwa sababu labda anahs yy Tanzania labd ina utawala mbovu kuliko zimbabwe
2. Roma vilevile katumia lugha ya picha kuhusu madactar,waislam,waalimu na wanafunz wanavyoteseka hapa Tanzania kuliko zimbabwe ndio maana katika video yako inaonyesha hao wotw kama wanaenda zimbabwe
3. Vile vile roma anasema ya kaisali tumeachie kaisali akimaanisha labda anashindwa kuwataja kwa sbbu anaogopa maisha yke ndio maana amemuachia mungu.
4. Vile vile roma anasema awezi kufaa kifo cha kijinga kisa kishujaa ambao familia yke itateseka. So kwa maana hyo hawez kutaja mtekaji..
Hayo ni mawazo yangu madogo tu but yanweza kuwa kweli au si kweli.. all in all kamshukur makonda kwa sabbu alitabiri roma atatabir kabla ya j2 na imetimia kwel ..bila shaka nahs hko ni kijembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roma pili.jpg

​
Mpaka sasa 'Zimbambwe' yake Roma Mkatoliki imevunja rekodi kwa kuwa na watazamaji wengi zaidi ndani ya muda mfupi kwa ngoma za Roma, ikumbukwe kuwa kwa wasanii wa Hip hop video ambayo iliwahi kupokelewa kwa speed hii ni 'Muziki' ya Darassa ambayo ndani ya wiki mbili iliweza kufikisha watazamaji milioni moja na kuwa namba tano katika video zinazo 'Trend' kwa kipindi hicho, Video nyingine ambayo imewahi kuwa na kasi hiyo kwa upande wa wasanii wa Hip hop ni 'Dume Suruali' ya Mwana FA akimshirikisha Vanessa Mdee.

Watch Roma- Zimbabwe=>
 
Hivi huyo Roma anajilazimisha muziki maana hata sijui anaimba nini zaidi ya kuongea ongea mistari isiyo na vina wala mpangilio alafu anaimba upuuzi tu... kuna watu hununua miziki yake au? ndio sogeza siku tu kama Soggy Doggy Hunter

Itakua iq yako iko chini sana, waerevu wanamuelewa na wamemuelewa
 
hongera kwake kwa nyimbo nzuri...wanaoipinga nyimbo
hawakutegemea km atatoa chuma
 
imezoeleka msanii Roma mkatoliki kila anapoachia wimbo hutoa ujumbe pasi na kuficha chochote lakini kwa huu wimbo wake mpya (zimbabwe) hali imekuwa tofauti, si Roma tuliyemzoea kwa kweli

Roma katawaliwa na hofu na uoga wa hali ya juu, lugha ya kisanii aliyotumia inaonesha uoga na hofu, kama si hivyo basi itakuwa ni unafiki kama anaoufanya mrisho mpoto

Roma alitakiwa kufunguka hasa baada ya ile awamu ya kwanza kufail, sasa ndio ilikuwa nafasi yake kuwachana live waliofanya tukio na sio kuwataja kiuficho (RC & polisi)

ila hongera ni wimbo mzuri, tunahitaji harakati za wazi, umerudi zama kwa hili kwa kweli
Akifa utamtunza mtoto wake na kumpa mahitaji yote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kuna kitu kimoja tu kinaniumiza kichwa kukitafakari ktk nyimbo hii: Tunakumbuka mkuu mmoja alisema jamaa atapatikana kabla ya jumapili, lakini mheshimiwa mwengine toka Arusha baadae akadai huyo aliyetabiri jamaa atapatikana baada ya jumapili ndio anahusika na ata akaenda mbali kudai huenda na yule mwingine aliyepotea pia huyo huyo ndiye wa kuulizwa.

Katika hiyo nyimbo ya R.O.M.A anasema "
"Waliosadiki Roma ataonekana kabla ya Jumapili
God bless imetimia injili niliyoitabiri" ukiangalia mistari hiyo mnapata picha gani jumlisha na nilichoeleza hapo juu.
 
Me skuona nyota kwa shoulder ila najua we ni soja
Inshaalah..
Ulikuja mwenyewe ama ulipewa order?
 
Mimi kuna kitu kimoja tu kinaniumiza kichwa kukitafakari ktk nyimbo hii: Tunakumbuka mkuu mmoja alisema jamaa atapatikana kabla ya jumapili, lakini mheshimiwa mwengine toka Arusha baadae akadai huyo aliyetabiri jamaa atapatikana baada ya jumapili ndio anahusika na ata akaenda mbali kudai huenda na yule mwingine aliyepotea pia huyo huyo ndiye wa kuulizwa.

Katika hiyo nyimbo ya R.O.M.A anasema "
"Waliosadiki Roma ataonekana kabla ya Jumapili
God bless imetimia injili niliyoitabiri" ukiangalia mistari hiyo mnapata picha gani jumlisha na nilichoeleza hapo juu.
Jibu unalo Mkuu
 
Back
Top Bottom