Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Kipaji cha kuandka unacho

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anaejiheshim huogopa hata kusimulia rafiki yake mwanaume aliechepuka nae kwa kuhofia kuonekana kiwembe..ukiona mwanamke anataja hovyo anaowapitia bila aibu..ujue huyo ameshapoteza sifa ya kawaida ya kike





Mimi nimeelewa hapo tuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are really super back. Roma Mkatoliki bado ni yule yule na kiwango kinapaa saana.
 
Nilishasema na leo narudia tena kusema kwamba Roma Mkatoliki ni Mpuuzi tena wa kutupwa na akae atambue kuwa siku ile ya Press Conference alituangusha mno Watu tuliokuwa nyuma yake na ambao pia tulipaza sauti zetu nchi nzima ili apatikane.

Hivi umeshateswa nusura au karibia ya Kufa halafu umeachiwa bado tena unapewa fursa ya kuongea na Watanzania ili useme ukweli ili yajulikane na mengine yaliyojificha Yeye alichotufanyia pala ni kutuonyesha tu minjino / mimeno yake na kijijeraha uchwara na alama za mgongoni na kutembea kiupande upande utadhani Lori la Bedford limekata spring na bandage yake Ugokoni.

Kuna Wapuuzi fulani wakasema kuwa eti kama angesema ukweli angekufa je Mke na Watoto wake wangeishije? Hapa ndipo niliwashangaa baadhi ya Watanzania na Roma Mkatoliki mwenyewe na kugundua kuwa kumbe kuna Watu humu Mashuleni tuliwasoma sana Mashujaa wetu lakini hatukujua nini maana ya Shujaa.

Hivi Watu Mashujaa kama Nelson Madiba Mandela na Patrice Emelly Lumumba achilia mbali akina Chifu Mkwawa wasingejitoa mhanga kwa ajili ya Waafrika Kusini, Wakongo na Wahehe wakati wa Mapambano ya Kudai uhuru na haki leo hii wangekuwa wanakumbukwa na kuitwa Mashujaa?

Hivi Mandela au Lumumba au Mkwawa wao hawakuwa na Familia zao? Hivi Msanii Roma Mkatoliki ni mkubwa kwa hao niliowataja hapo juu hasa Kiushujaa? Kwani siku ile ile ya Press Conference yake angefunguka tu na kusema ukweli halafu hata kama angeuwawa / angeuliwa bado asingebaki kuwa / kuitwa Shujaa na Watanzania wengi waliopaza sauti zao juu ya kule Kupotea / Kutekwa Kwake?

Kwa Upuuzi huu nawalaumu sana Watekaji kwani ni kheri tu wangemaliza shughuli mapema tu huko huko Ununio mkabala na Mahaba beach. Yaani unateswa hadi kuumizwa nusura ya Kufa halafu unapewa platform ya kutiririka na kuserereka Wewe unabaki kujibinua binua tu katika Kiti.

Niliacha rasmi kutompenda na kumshabikia Roma Mkatoliki siku ile ile aliyofanya Press Conference yake baada ya kutoka Kutekwa na Kuteswa na kama ni kumpenda au kumshabikia basi nitafanya hivyo kwa Mke wake mzuri na mrembo hasa Nancy kwani ana kila aina ya ushawishi ambao utasabisha Mimi kumkubali.
 
Ndivyo akili yako inavyokutuma kwamba mtu akifanya mazuri mia moja lakini akikosea moja hatakiwi kukosolewa? Sula la kuandika jambo la msingi haliwezi kutuzuia sisi tusikosoe baadhi ya machache aliyokosea. Acha kuwa mvivu wa kufikiri wewe.
Unamatege kwenye ubongo, mbona (rahisi) wako huwa hupend akosolewe kwa mabaya machache anayofanya. P.u.m.b.a.v.u zako!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo siyo typing error bali ni kosa kubwa. Mfano huwezi sema Watoto wanne anakuja, au Mtoto wanacheza. Eti kisa umeandika mambo ya msingi tushindwe kusahihisha.
Hii ni sawa na unaenda polisi kupeleka habari kwamba umeona watu wanaingiza ghalani pembe ya ndovu viroba zaidi ya ishirini, Alafu polisi waendelee kupoteza mda kukuliza umeona pembe ya ndovu au pembe za ndovu?
 
Mungu wa Paul (Makonda) ndo Mungu wa Daudi( Bashite) na ndo Mungu wa John (Pombe)

Kwani kuwa mpinzani ni dhambi????
Jiendee Zimbabwe Roma.

Roma, hajaenda Zimbabwe, bali katumia sanaa yake kupitia nchi ya Zimbabwe.

Mtoa mada pia umetumia Lugha nzuri mno kufikisha Ujumbe wako kwa wanajamvi.
Hongera Roma hongera mtoa Mada.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia wimbo ulitakiwa uitwe "diketa ' lakini akatumia zimbabwe ili kuficha neno dikteta. Zimbabwe Inaongozwa kidikteta na kila Mtu anajua.
 
eti 'lete wajeda,sijui lete nini na nini afu maiti muitupe daraja la mkapa'......waungwana wakaleta tu ' kikopo cha vasse' ...mara mwanaharakati akaanza 'mi sio rapa tu,nina watoto,nina wazazi wananitegemea,nina mke jameni mwenzenu...
acha uanaharakati uchwara aisee kama hujaamua kufa kwa unachokiamini.imba softies tu upate pesa,ACHANA NA UANAHARAKATI WA KUCHOVYA!!
 
Back
Top Bottom