Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Zimbabwe ni nyimbo ya jeshi ya mchakamchaka ameiiba uko iyo chorus
 
Sikariri mkuu na wala sio boya... huo wimbo ni wa wapi sasa kanisani Roma au? tueleweshane maana najuta kuusikiliza nifahamishe ni vionjo gani vimetumika na ni burudani au maongezi au uchochezi au ni mipasho kama Taarabu ilikufa kibudu
Mbona povu Daudi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naenda Malawi, nikiamka asubuhi ni kupuliza tu mpaka kunakuchwa
 
Hivi huyo Roma anajilazimisha muziki maana hata sijui anaimba nini zaidi ya kuongea ongea mistari isiyo na vina wala mpangilio alafu anaimba upuuzi tu... kuna watu hununua miziki yake au? ndio sogeza siku tu kama Soggy Doggy Hunter

We naona akiimba mchiliku ndo utamelewa ila umemuelewa sema unajikaza upate posho pale makao makuu ya zimbabwe
 
Zimbabwe ni nyimbo ya jeshi ya mchakamchaka ameiiba uko iyo chorus
Kuwa nyimbo ya jeshi sio fact sis tunaangalia maudhui ya wimbo. Kama umetazama kwa makini video at the end unaona roma anasepa na kijiji kuelekea Zimbabwe, akifuatwa na watu kutoka sekita tofaut tofauti, pale kuna wakulima, wafugaji, daktari, fundi makenika, watu wengne kutoka vtengo mbal mbal. From that point tunaona kwanba nchi imechange direction ki-sihasa kiuchumi, kielimu yaan inshort akuna kitengo kilchobak salama. That's one man show na ukiweka na kampen ya mkulu baki ndo umeua kabsa. To cut story short na sis jeshin- JKT tumeenda, mwenyew nilkuwa 825KJ MTABILA , uo wimbo tumeimba sana bt maudhui ya kule ni kutia molali tu kweny mchakamcha wala si vngnevyo, ila kwa kesi ya roma kamanisha kitu kingne apart from jeshi.

New bloom sweeps well but old one knows every corner!!
 
......
......Kunajamaa nilimtandika pamoja na moto wake
Ha ha ha ha ha
Hiki kitu acha mkuu lbda huyo alikuwa kipofu. Hata km akishika mtoto wa miaka 5 lazima unyenyekee.
Ulikutana na mlemavu.
 
Wanajukwaa heshma ziwafikie.
Dhumuni langu leo na kunifanya kupandisha thread juu,ni kumpa hongera msanii Roma kwa kufanya kile ambacho nilitamani akifanye kupitia sanaa yake kama msanii.
Kiukweli sikutamani akae kimya baada ya matukio yaliyo mtokea.
Hongera Roma na wimbo wako mpya ujumbe umetufikia. Mungu ibariki Tanzania na Watanzania wake. Ameni.
 
Back
Top Bottom