Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Official Video: Zilipendwa by All WCB Artists

Ngoma nimeipenda inaimbika na kuchezeka...WCB tabia yenu sio nzuri.....Mungu anawaona....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

Mchana nilikunywa mataputapu sasa hivi nimeshushia bia.... Asante wasafi kwa kunitoa harufu ya mataputapu mdomoni.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123] [emoji123] [emoji123]

Anawaona haswa haswa... huu ukipigwa uwiiiii kumekucha mtu ukiwa viwanja haswaaa au kwa sherehe.
 
Back
Top Bottom