eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Nakuja hukoSeduce Me
Nakuja hukoSeduce Me
Fanya siri basi Aspirin asisikieNakuja huko
Uko tayari kuiusikiliza wimbo wake hatakama si muimbaji?Mkuu toa wako tuuskie!
Watu wanachungulia waone kama kuna jipya,lakini wanaishia kua disappointed.jamani naona mwamba anaelekea views 2000k jamani this is history making jamani haina budi tumpongeze kwa record hii wimbo umekuwa wimbo wa taifa wa east africa jamani stop being jealous this is history making
Watu wanachungulia waone kama kuna jipya,lakini wanaishia kua disappointed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuwe wakweli na tuweke team pembeni,Ali Kiba huu wimbo haujakidhi matarajio ya wengi,hauwezi ukaushindanisha na zilipendwa,nimeurudiarudia wimbo wa zilipendwa mara nyingi iwezekanavyo lakini bado haukifu.Ali Kiba watu wanampa kazi sana kumshindanisha na Diamond,Ali Kiba ana-abuse sauti yake,haitendei haki,we can term that thing as voice abuse.jamani this is incredible this is history making hebu niambieni wimbo ambao hauna zaidi ya masaa 60 unakimbilia views 2000k haijawahi kutokea this is history making jamani
SOMETIMES WE ARE TOFACE THE REALITY AND ACCEPT IT
MY REGARDS
VIONGOZI,MAGWIJI WA MUSIC ,WATU WAZIMA AND ET CETERA WANATOA YA MOYONI WEWE BADO UNASHABIKIA ZILIPENDWA HAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHHAHAHHA
MY REGARDS
Huo naona ni ushabiki tu... tuwe real,tuache chuki dhidi ya Diamond,anamuacha mbali sana Ali Kiba.Habari za huko Madale WCB wanasema King kawaibia nyimbo [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu tuwe wakweli na tuweke team pembeni,Ali Kiba huu wimbo haujakidhi matarajio ya wengi,hauwezi ukaushindanisha na zilipendwa,nimeurudiarudia wimbo wa zilipendwa mara nyingi iwezekanavyo lakini bado haukifu.Ali Kiba watu wanampa kazi sana kumshindanisha na Diamond,Ali Kiba ana-abuse sauti yake,haitendei haki,we can term that thing as voice abuse.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12]Habari za huko Madale WCB wanasema King kawaibia nyimbo [emoji3][emoji3][emoji3]
Zilipendwa taarabuuu nyie si wa mipasho!!!Mkuu tuwe wakweli na tuweke team pembeni,Ali Kiba huu wimbo haujakidhi matarajio ya wengi,hauwezi ukaushindanisha na zilipendwa,nimeurudiarudia wimbo wa zilipendwa mara nyingi iwezekanavyo lakini bado haukifu.Ali Kiba watu wanampa kazi sana kumshindanisha na Diamond,Ali Kiba ana-abuse sauti yake,haitendei haki,we can term that thing as voice abuse.
Sent using Jamii Forums mobile app
HIYO NI MWAKA 2016 XO THIS YEAR ALI KIBA AMEINGIZA PESA ZAIDI INA MAAANA NTARUDI TENA FORBES WAKITOA YA MWAKA 2017Mkuu tuwe wakweli na tuweke team pembeni,Ali Kiba huu wimbo haujakidhi matarajio ya wengi,hauwezi ukaushindanisha na zilipendwa,nimeurudiarudia wimbo wa zilipendwa mara nyingi iwezekanavyo lakini bado haukifu.Ali Kiba watu wanampa kazi sana kumshindanisha na Diamond,Ali Kiba ana-abuse sauti yake,haitendei haki,we can term that thing as voice abuse.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuwe wakweli na tuweke team pembeni,Ali Kiba huu wimbo haujakidhi matarajio ya wengi,hauwezi ukaushindanisha na zilipendwa,nimeurudiarudia wimbo wa zilipendwa mara nyingi iwezekanavyo lakini bado haukifu.Ali Kiba watu wanampa kazi sana kumshindanisha na Diamond,Ali Kiba ana-abuse sauti yake,haitendei haki,we can term that thing as voice abuse.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka hivi una miaka mingapi? naomba nijue kwanzaMkuu tuwe wakweli na tuweke team pembeni,Ali Kiba huu wimbo haujakidhi matarajio ya wengi,hauwezi ukaushindanisha na zilipendwa,nimeurudiarudia wimbo wa zilipendwa mara nyingi iwezekanavyo lakini bado haukifu.Ali Kiba watu wanampa kazi sana kumshindanisha na Diamond,Ali Kiba ana-abuse sauti yake,haitendei haki,we can term that thing as voice abuse.
Sent using Jamii Forums mobile app