Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Huo wimbo umaarufu wake upo IG tu na watanzania wanaotumia huo mtandao hata robo hawajafika ..muulize mjomba wako waa namtumbo kama anaujua .
 
Bado masaa machache nyimbo ifikishe siku ya tatu viewers m1.8+ kwa sasa nadhani team kiba watafikisha 2m soon...aiseee
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.
Safi mkuu diamond angekaa kimya naiman hii nyimbo isingesifiwa kiasi hiki
Diamond kazingua sana tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hao wanaomsifia kiba wanaogopa kusifia diamond sababu ya kutukanwa. Yani ukiwa against hiyo seduction unaoga matusi.
Cheki kilichompata yericko nyerere
hahahahahah yericko nyerere katukanwa hebu weka hayo matusi hapa huyu jamaa simpendi kabisa
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.
Ai bye maiselfu agirii wizi yua komenti veri veri veri much. [emoji1] [emoji1]
 
Siku chache tu, viewers 800,000'. I think ndan ya siku 7 tuna hit 1m.
 
Tunaopenda ladha za kiba tumeulewa sana

Seduce me plz

Ila yule aliyekopi zilipendwa atapambana na matonya

invest what you are willing to lose
 
Back
Top Bottom