Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
We upo hapa hapa Bongo au Afghanistan???
Maana ulichokiandika kipo mbele nyuma,nyuma mbele aiseee...
 
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa

Wabongo kwa kujifanya wanajua bana....kila mtu anachagua anachokipenda hata mashabiki wa alikiba wanaweza kukushangaa wewe kung'ang'ana kuwa shabiki wa mtu mwenye dharau ka mond.Mtu ambae watz tunamsupport afike mbali asaidie na wengne watoke ye anataka kutoka mwenyew na wasafi.

Ila hapo ulipoandika freemason umeyumba next tym acha ujuaji mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
Hiyo comment yako bob iko vice-versa inaonekana we wa mkoa sio dar es salaam coz unaonekana hujui kinachoendelea
 
exactly she's kind of desparate akikuchukia atadeal na wew aone umeanguka anamchukia diamond tokea wema alivyoachwa na alikuwa very disappointed na wema kudate watu maskini na waajabu hili la hamisa nalo ndo kabisa kamchukia diamond mara tatu coz alijua zari anaachwa anaolewa hamisa things zimeenda vice versa ndo kaamishia hasira kwa kiba ili kumzima diamond kuna watu wanasemaga Ana matatizo ya akili hasa yakugombana ona sasa ivi kasahau issue za kiharakati yuko busy na kiba
Tatizo umemjua Mange juzi juzi, kama ungemjua tangu tangu enzi za blog yake usingesema yuko bize na Kiba anaacha mambo ya harakati.
Mange ni mfukunyuku tangu zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa

sindano imekuingia pole
 
I admit that but when we reflect back what she did for people is unexplainable that's why she wins a lot of followers that stood for her up to now , but I felt overwhelmed why she still involved in this current two musicians and stood one one side intentionally , though I though she is only based on politician but for this I salute her

I'm done with her

Sent using Jamii Forums mobile app
Mange ni attentional seeker ama kwangu Mimi naweza sema ana ADHD kwa sababu hata ile ya kusaidia watu anafanya tu ili watu wamtambue na kuamini kuwa anaweza kubadili mambo na kuwa kama atakakavyo yeye.

Hata kwenye siasa naamini yupo kwa faida Fulani tu na Kuna kitu anachotarajia.

Matumizi ya matusi ya nguoni ndiyo huniacha hoi zaidi kukosoa bila matusi haiqezekani? Huyu Dada anatatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uje bhana watu wengi wanategemea taarifa. Kutoka kwa mange ila sahiv hakuna cha harakat zaidi ya kutaka kumwangusha diamond na kumpandisha alikiba this show how base on her needs without know now am mature enough let as base in revolution hapo nampunguzia credit realize she after visasi na sio uchambuz

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu she is after revenge huyu Dada na si uchambuzi kwa great thinker atajua hata sababu ya kuwaandama maccm huenda ikawa hakupata mile alichotarajia toka kwao baada ya kampeni aloifanya

Nakumbuka hata Wema alipohamiq CDM alisisitiza ili abaki huko basi wajitahidi hata kumlipa mshahara au wasimsahau kwenye nafasi hapo baadaye. So ni MTU wa kumwangalia kwa jicho la Tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom