Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Mkuu nenda ukamwambia yeye mwenyewe, huoni kwamba kuongelea huku ni kama vile unafiki...kama vipi na itapendeza kama ukimfuata kule kwenye page yake then umwage kila kitu kule.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliemtengenezea beat ya huo wimbo ndio kaharibu, moja ya beat mbaya kabisa kuwahi kutokea
 
NAjaribu kuvuta picha kama Mondi angesubili tu upepo wa seduce me upite halafu ndo aje autoe huu wimbo wao wa zilipendwa....aiseeee wangefunika mbaaaaya maana zilipendwa ni boooonge la nyimbo...sema uswahili wake na roho mbaya alioifanya huu zilipendwa inapotea fastaaa na seduce me inakuzwa kwa ukubwa mnoooooo....poor mondi,mi ni shabiki yako ila safari hii umebugi hovyo hovyooo
 
Hayawi yamekua, Haijawai kutokea afrika msanii atoe video peke yake (ukianchana na ile ya wizkid ft drake) youtube na ikatazamwa na watazamaji milioni moja ndani ya siku moja, Ali Kiba ndiye msanii pekee aliyeweza kufanya haya maajabu huku akiwaacha wasanii wengi midomo wazi kwa hii rekodi aliyoivunja kwa kupata views milioni moja ndanu ya siku moja na masaa 14 (masaa 38),,, HONGERA ALI KIBA
 
Attachments

  • KIBA.PNG
    KIBA.PNG
    177.7 KB · Views: 53
Hayawi yamekua, Haijawai kutokea afrika mashariki msanii atoe video youtube na ikatazamwa na watazamaji milioni moja ndani ya siku moja, Ali Kiba ndiye msanii pekee aliyeweza kufanya haya maajabu huku akiwaacha wasanii wengi midomo wazi kwa hii rekodi aliyoivunja kwa kupata views milioni moja ndanu ya siku moja na masaa 14,,, HONGERA ALI KIBA
Mh unauwakika haijawah kutokea au Ndio ushabiki tu.
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.
Haya kauze karanga
 
Mh unauwakika haijawah kutokea au Ndio ushabiki tu.
Haijawahi kutokea kwa msanii wa Afrika aletoa wimbo pekee yake
Ila ilitokea kwa wizkid kwenye wimbo wake aliomshirikisha drake

Wimbo ni mkali kinoma
Mi ni shabiki wa kiba na dimond
Ila ukweli usemwe tu
 
Tatizo hao wanaomsifia kiba wanaogopa kusifia diamond sababu ya kutukanwa. Yani ukiwa against hiyo seduction unaoga matusi.
Cheki kilichompata yericko nyerere
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.
Kwani wewe huwa unaaminishws? Unadhani watu wore hao hawana akili hadi waaminishwe?
Tuacheni makundi tuangalie ubora wa muzuki wetu ndani ya nchi na nje ya nchi hizo team zenu zitatuharibia muziki wetu
 
Uliponisoma hapo umegundua kundi langu ni lipi? Wewe umenisoma huku tayari unalako moyoni

Mimi nasikiliza miziki yote na ni kweli wimbo wa Kiba ni mzuri ila sio kiasi hicho cha kuwehusha watu kwenye mitandao alafu wimbo mzuri hauhitaji promo nyiiingi wenyewe tu unajiuza

Toa hiyo mentality ya utimu alafu tujadiliane kama wadau wa muziki
 
Kabisa mkuu she is after revenge huyu Dada na si uchambuzi kwa great thinker atajua hata sababu ya kuwaandama maccm huenda ikawa hakupata mile alichotarajia toka kwao baada ya kampeni aloifanya

Nakumbuka hata Wema alipohamiq CDM alisisitiza ili abaki huko basi wajitahidi hata kumlipa mshahara au wasimsahau kwenye nafasi hapo baadaye. So ni MTU wa kumwangalia kwa jicho la Tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijawahi kutokea kwa msanii wa Afrika aletoa wimbo pekee yake
Ila ilitokea kwa wizkid kwenye wimbo wake aliomshirikisha drake

Wimbo ni mkali kinoma
Mi ni shabiki wa kiba na dimond
Ila ukweli usemwe tu

Mh wadanganyen Hao Hao
 
jamani watu wakubali tuu seduce me is the hit song of the year africa sidhani kwangu kama kutakuwa nahit kama hiyo
 
Back
Top Bottom