Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

So many people look at mange kimambi as an ordinary person. To me I take it differently, she is of person who always wish to impose her thoughts into others while she keeps on maintaining her lifestyle despite cries from different people of different caliber.
Let's look at the new event which is trending in social Media, ALI KIBA with his new release SEDUCE ME, she Has dedicated her time ,energy and resources to make sure Ali kiba beats Diamond.
My question is,who will be next in the line?

Sent using Jamii Forums mobile app
upo sahihi,, namfatilia sana mange,,lakn nimegundua hilo piaaa,,anakurupuka sana baadh ya vitu na badaye akigundua alikurupuka huwa anazugaaa,,
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
hahaha aya tunakupa masters of Arts in chuki
 
si kwa povu hili la tesa

Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
 
Kumtaja Amitha Bachan
Pepe Kalle
Lufufu Mkandala

Hii omo sio ya nchi hii.

Mbona huongelei copy ya wimbo wa zilipendwa kuwa ni wa matonya?

Acheni unafiki. Nyie ndio mnaoua game la bongo

Sent using Jamii Forums mobile app

upo sahihi,, namfatilia sana mange,,lakn nimegundua hilo piaaa,,anakurupuka sana baadh ya vitu na badaye akigundua alikurupuka huwa anazugaaa,,
Si mjibu kwa kiingereza kama anavyotaka ajulikane huyu KJ wetu
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
Kwa nini unahangaika kuukataa ukweli?
 
wimbo wa diamond ni mbovu kweli kweli kila kitu amecopy .....diamond ameishiwa
 
mleta thread nahisi anatamani kubadilisha heading ila anashindwa kwa kinachoendelea huko utube

Akifa shekhe kazi ya Mungu
Akifa mlevi sababu ya Pombe
 
Wimbo unatibu hadi wenye utindio wa ubongo ..kuna jirani yetu ameruhusiwa toka muhimbili alikuwa wodi la watu walochanganyikiwa bahati nzuri jana usiku nesi kamsikilizisha wimbo wa Seduce me ghafla network zikarudi...ndugu zake wanamtafuta Ali Kiba apewe zawadi yake.
 
mnapowalinganisha hao wawili mkumbuke tu kuwa Diamond ni nyota zaidi ya Ali Kiba, na huu ni ukweli wa mambo
 
I admit that but when we reflect back what she did for people is unexplainable that's why she wins a lot of followers that stood for her up to now , but I felt overwhelmed why she still involved in this current two musicians and stood one one side intentionally , though I though she is only based on politician but for this I salute her

I'm done with her

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inanikumbusha mziki ya darasa

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
Sijaelewa[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Back
Top Bottom