Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Jamani acheni kufanya kama kina Diamond ndiyo wamekuwa watu wa kwanza Tanzania kuvaa mawigi na suruali za kale. Joti kashavaa hivyo, kuna tangazo la Tigo/Coca-Cola lililoshika jiji walishavaa hivyo
Stop this glorification of copying!

Sent using Jamii Forums mobile app
WIMBO UNAENDANA NA MAVAZI NA SCENE
HAIJALISHI NANI ALIWAHI KUVAA , HAO WENGINE WANAVAA AS COMEDIANS AU MATANGAZO
HAPA DIAMOND ANAONGELEA ZILOPITA AU ZILIZOPENDWA HIVYO MAVAZI NAYO YAWE HIVYO

WIMBO UNAENDANA NA MAVAZI NA SCENE
HAIJALISHI NANI ALIWAHI KUVAA , HAO WENGINE WANAVAA AS COMEDIANS AU MATANGAZO
HAPA DIAMOND ANAONGELEA ZILOPITA AU ZILIZOPENDWA HIVYO MAVAZI NAYO YAWE HIVYO
Nimekosoa namna mtoa comment alivyosifia kuwa wimbo wa zilipendwa umejaa ubunifu wakati kiuhalisia hamna ubunifu wowote!
Unless you were born yesterday hizo nguo/wigs zimeshavaliwa na wengine kabla ya wcb katika kuonyesha tamaduni za kale! This is my point!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii omo sio ya nchi hii.

Mbona huongelei copy ya wimbo wa zilipendwa kuwa ni wa matonya?

Acheni unafiki. Nyie ndio mnaoua game la bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kweli aisee anasema kule marekan kama kafik yan, hilo povu unaeza ukafulia mablanket

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app

Naogopa kutoa maoni kwenye hizi timu coz ukisema upande flani wimbo ni mzuri basi opponent watakushushia povu nachotaka kusema mziki ni hisia kila mtu huwa touched kivyake kwamfano Despacito kwa sasa ni wimbo wa taifa views >3bils lakini kuna wengine hata hawaujui na hawaupendi so msitukane mtu akitoa maoni tofauti na yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

karibuni wadau wapenda burudani check video ya king kiba hapa enjoy[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

[quote uid=434933 name="El Matador" post=23094020]which video is that niiwatch kesho kwa ofisi?[/QUOTE]
kweli umepitwa na wajati pitia link hiyo[emoji116] [emoji116] [emoji116]
video is out
#Alikiba-seduce Me
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
kampeni mpya tunaitafuta milioni
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video):

HAYA BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU ALIKIBA AMETULETEA HII VIDEO
SIKU ZOTE TEAMKIBA TUMEKUWA WAMWISHO YOUTUBE SAFARI HII TUWE WA KWANZA WOTE TUGUSE LINK
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video):

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video):

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video):

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video):

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video):

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alikiba - Seduce Me (Official Music Video):

Written by Lusematic

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app

Emb toa upupu wako kakojoe ulale, mziki mzuri , melody nzuri yaani hauchoshi kuusikiliza

7500a96ec5095b4c46a98bcb248d90ea.jpg

Ukimaliza kusoma kakojoe ulale

Sent using Jamii Forums mobile app
Huhuhhhh
Tumekusomaaaaa

Uje bhana watu wengi wanategemea taarifa. Kutoka kwa mange ila sahiv hakuna cha harakat zaidi ya kutaka kumwangusha diamond na kumpandisha alikiba this show how base on her needs without know now am mature enough let as base in revolution hapo nampunguzia credit realize she after visasi na sio uchambuz

Sent using Jamii Forums mobile app
She fits every where... Mwanzon kabla hajaanza kukaanga wanasiasa alikuwa mfunyuku haswa mmbea wa kuchamba mastaa wa bongo na yuko vzr huko kuliko kwenye siasa wapenda umbea watanielewa hapa... Baada ya kujipenyeza kwny siasa na huko nako pia anafanyavizr...
Kiufupi she is open minded woman kias cha kuweza kuwashawish wapenda umbea na wapenda siasa kuanza kufuatilia post zake

Team Domo mmejazana humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkumbusheni Domo aje ashukuru Views 1 million in 49 hours

wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
Mkuu nakumbuka Matonya aliimbaga zilipendwa,staili ile ile vile vile kama ya Wasafi[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Uje bhana watu wengi wanategemea taarifa. Kutoka kwa mange ila sahiv hakuna cha harakat zaidi ya kutaka kumwangusha diamond na kumpandisha alikiba this show how base on her needs without know now am mature enough let as base in revolution hapo nampunguzia credit realize she after visasi na sio uchambuz

Sent using Jamii Forums mobile app
exactly she's kind of desparate akikuchukia atadeal na wew aone umeanguka anamchukia diamond tokea wema alivyoachwa na alikuwa very disappointed na wema kudate watu maskini na waajabu hili la hamisa nalo ndo kabisa kamchukia diamond mara tatu coz alijua zari anaachwa anaolewa hamisa things zimeenda vice versa ndo kaamishia hasira kwa kiba ili kumzima diamond kuna watu wanasemaga Ana matatizo ya akili hasa yakugombana ona sasa ivi kasahau issue za kiharakati yuko busy na kiba

wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
unaumwa ww cio bure

Back
Top Bottom