Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
KWENDRAAAAAAAAwimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason
nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd
kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app