Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Habari zenu na heshima kwenu, ni miezi kadhaa sasa toka siasa itawale kila kilichofanyika tofauti na siasa hakikuweza kuzima siasa.
Katika mziki hii ilipelekea kila mwanamuziki aliyejaribu kutoa wimbo basi wimbo wake ulibuma ndani ya muda mfupi.
Kuna mifano ya wasanii walio jaribu kutoa nyimbo zao bado hazikuweza kuzima upepo wa siasa kama vile... hasara roho wa Darasa, ...kuna Rich Mavoko na Harmonize..., Ney wa mitego... Weusi na wimbo wao madaraka ya kulevya .....na hata Diomond na nyimbo zake eneka na fire hazikuweza kuhamisha fikra za watanzania.

Sasa turudi kwa mwanamuziki Alikiba kitendo cha kutoa wimbo wake wa Seduce me ndani ya muda mfupi watanzania washasahau hata makanikia na kuondolewa zile stress za kusubiri Noah. Huu wimbo umeosha ubongo wa watanzania na kufanya kuwa habari kubwa sasa hivi kila kona ni kiba kiba....

Big up Alikiba seduce me ni imefanya watu wasahau usanii wa wa wanasiasa

South
Mi naona wameamisha hisia za wale wenye mgando wa fikra how seduce will make you to reach your goal sema wewe husiseme watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kinacho tuuwa sisi wabongo ni unafiki wa kuegemea upande mmoja ukifanya vizuri ndo huko wote wanashabikia naanza na mpira
1:kama unakumbuka mbeya city iliwahi kufanya vizuri katika soka watu wote waliowengi usimba na uyanga waliacha

2: Kama unakumbuka diamond alipotoa remix ya chambua Kama karanga palikuwa hapakamatiki watu walimsifia Sana na kuanza kuulizana kuwa kiba kapotea kwenye game sasa tena sasa kiba katoa tena kaonekana anamashabiki wengi kuliko mondi ila Mimi naona wabongo tuliowengi hatuna ushabiki wa kweli tunaushabiki wa upepo utakapovuma tunaegemea huko

Nimtazamo wangu lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.

kwani wewe unaaminishwa au kila mtu anaamini/kuukubali baada ya kuisikia na kuridhika nao?
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii.
Poor strategy za Diamond na management yake ndio zitampoteza kwenye ramani ya muziki, mi pia amenishangaza kwa vitu viwili; kutoa wimbo wa diss kwa kiba (hii imefanya kilamtu ajue mchokozi/mpenda bifu ni nani), pili kurelease ngoma baada ya kiba kutoa yake, imezidi kudhihirisha ni mtu wa namna gani. Namtabiria mwisho mbaya kama ataendelea na style hii though mimi ni shabiki wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.
Hakuna wimbo hapo. Amtongoze nani sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama u-team una faida yeyote zaidi ya kuwafanya watu wawe vipofu na viziwi wa good music, Kuna wasanii wengi wanaohitaji support na wanastahili heshima kubwa kwenye game ila shida macho na masikio ya wengi yapo kwenye maisha ya hizi team zisizo na tija, kama mondi akitoa ngoma kali tumpe support na kiba nae vivo hivyo sio kujitia ukiziwi na kujikosesha utamu wa good music eti kisa wewe ni team mondi/kiba, nafikiri ni wakati wa kusupport good music na si kujikita kwenye teams ili tuweze kuinua muziki wetu.
 
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.
Emb toa upupu wako kakojoe ulale, mziki mzuri , melody nzuri yaani hauchoshi kuusikiliza
Huo wimbo sio kwamba ni mkali kivile ila ninachoona hapa ni watu kutembelea kiki...hao wote wameona hiyo bifu ya hizo nyimbo mbili ina trend hivyo wameamua kutumia fursa...

Alafu Ali Kiba kapata huruma ya watu baada ya Diamond kutoa "boko" (kutoa wimbo kutaka kufunika wimbo wa mwenzake) kitu ambacho watu wengi ata ambao ni fans wake kuona kama ni miyeyusho.

Mondi kabugi sana safari hii kaupa huo wimbo wa Ali Kiba umaarufu ambao haukustahili japo wimbo ni mzuri ila sio kwa kiwango hicho tunachoaminishwa.
7500a96ec5095b4c46a98bcb248d90ea.jpg

Ukimaliza kusoma kakojoe ulale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team kiba nakuelewa,endelea na promo ila angalia kiherehere chako usije ukalazimishwa kucheza porno.

Akili za usiku
 
So many people look at mange kimambi as an ordinary person. To me I take it differently, she is of person who always wish to impose her thoughts into others while she keeps on maintaining her lifestyle despite cries from different people of different caliber.
Let's look at the new event which is trending in social Media, ALI KIBA with his new release SEDUCE ME, she Has dedicated her time ,energy and resources to make sure Ali kiba beats Diamond.
My question is,who will be next in the line?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akimaliza hapo anarudi kwa Bashite na kumchagua mwingine wa kumtukana na post za hapa na pale na kumtukana mwingine...na mwingine ....na mwingine....siku zinaenda.
 
wimbo wa Diamond umekamilika una ujumbe na mavazi na scene yake iko poa kabissa
ni utundu wa kubuni na akili
Huu wa Kiba ni wimbo wa kawaida sana na ku copy kwa kudhani unaleta kitu kipya , video mbovu ni music ambazo hutumiwa sana na Gays Music Club.... Seduction ni music za gays ambao ni common kule Marekani na Ulaya
Pia huimbwa kwenye sherehe za Freemason

nyimbo kama hizo mara nyingi huimbwa na wanawake ..Wimbo wa mahadhi haya umewahi kuimbwa na Celine Dion na Gerd

kuiga sana ndio hivo unakoroga mavi.
na washabiki wake wanafanya ku like tu kichwa kichwa
Jamani acheni kufanya kama kina Diamond ndiyo wamekuwa watu wa kwanza Tanzania kuvaa mawigi na suruali za kale. Joti kashavaa hivyo, kuna tangazo la Tigo/Coca-Cola lililoshika jiji walishavaa hivyo
Stop this glorification of copying!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom