Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Seduce me
ad77a942f2b55526f3b59bd1bbcb0514.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ukipita huko Istagram, Jamii forum, twiter wanaojiita mashabiki wa Alikiba wao ni kutukana matusi tu, wimbo umetoka mpya wao kabla hajacomment kitu anaanza na tusi! daah

Mziki haupo hivyo! mnatufanya hata sie wastaarabu tunaompenda Alikiba tuanze kuanza kupenda upande wa pili.

tulieni kama wimbo mzuri utakuwa mzuri tu!
 
Nakerwa na heading zenye capital letters, nakereka sana! By the way hiyo quality ya audio na video ndio alizokuwa anafanya mondi kwenye miaka ya 2008/2009
 
Naombeni uzi wangu msiuunganishe

Kiukweli kwa alichotuonyesha kiba leo katika video yake mpya ya Seduce me ni majanga matupu

1.Video mbovu

2.Rangi kwenye video hazieleweki yani hovyo hovyo

3.yupo rafu tu mchafu mchafu hadi kuangalia kichefuchefu

4.nyimbo ni mbovu haijawahi tokea kiba kutoa nyimbo mbovu hivi

Alikiba ametutia aibu sio kwa nyimbo kimeo hivi tena umekaa mwaka mzima ndio umeleta balaa hili?



Sent using Jamii Forums mobile app

Yan mnasemaga hivyo hivyo...hamjaanza leo hizo story, ila hii video ni level za mbele..

Baada ya mwaka tutaambizana humu maajabu itakayofanya
 
King Kiba ametoa wimbo unaitwa seduce me ila ukiangalia Artwork yake ni copy and paste ya album cover ya msanii toka Canada The Weeknd iitwayo Star Boy ya mwaka 2016.
Je ni kwamba tuna uhaba wa graphics designers?
Wanasema hamna kitu kipya duniani ila sio kushindwa ku design na kuamua kukopy artwork ya msanii mwingine.

f49a62326ae0f679f7a14fc625270fe7.jpg


6aeb8b9995ddf7b39e2fa5607eaf87a7.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni roho mbaya ngoma nzuri

send via satellite-Vietnam
 
The weekend kashika kichwa kiba hajashika wamefanana vipi, ya kiba Kuna jina la Baba diamond the weekend Hana.
 
Nyimbo ikikataliwa mwanzoni huwa ni booonge la hitsong litakalokaaa kwenye akili miaka. Hata Aje ilikuwaga hivi. Dimond nae alipotoa zake zile tatu kwa mkupuo mlimsemaaa ile ya fire atleast hyo Eneka.
 
Back
Top Bottom