barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,804
Ila Mond kampaisha sana wiki hii, kapata airtime sana!Leo nimeamini huyu jamaa ni zero aisee kakaa mwaka mzima bila kutoa ngoma alafu leo anakujakutoa ushuzi kama huu nyimbo ya kawaida sana alafu video yenyewe kimeo yaani huyu kaka anamtegemea Diamond sana hhhhhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
