Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Me nadhani Kiba katoa nyimbo tofauti na vile mashabiki wengi walivyotegemea maana watu huamini "kimya kingi huwa kina mshindo mkubwa"........ila ngoja tusubiri muda utaongea zaidi
 
Ngozi nyeusi kazini daaah Mungu tusaidie kwa kweli

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Bora huyo art work kuliko yule na eneka yake kuanzia audio mpaka video

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba, ukweli nimesikitika sana. Sikutegemea kama mwaka mzima aliokaa kimya msanii kama Kiba anaweza kutoa wimbo wa kiwango duni kama huu.

View attachment 574642
Ha! ha! ha! Just ha! ha!

Ngozi nyeusi kazini......Mungu baba tuokoee na izi roho mbaya

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Ukiweka hii nyimbo na ile kipusa ya sec 24 bora usikillize kipusa utaenjoy michano

Xmass Boy.
 
huu ushabiki huu mtakujaga mtoane roho ...
Diamond akitoa nyimbo watu wansema ndo basi mdaa wake ushaisha na kiba nae the same. .
Ama kweli bongo nyoso

Nokia ya Torch
 
Kimya kingi, mashabiki wake walikua na hamu ya kuona kiba katoa nyimbo
Ila kwa hii watakua disapointed kweli

Let it flow
 
huu ushabiki huu mtakujaga mtoane roho ...
Diamond akitoa nyimbo watu wansema ndo basi mdaa wake ushaisha na kiba nae the same. .
Ama kweli bongo nyoso

Nokia ya Torch
hahahahhaha.............
 
Back
Top Bottom