ulikisomaje ww?Unaweka kukisoma ulichokiandika?
Jibu swaliulikisomaje ww?
Dah..lakn haibi nyimbo za watu kama EnekaSIJUI HATA KWANINI HUWA MNAMUONA KIBA MSANII, KIBA ALIKUA ZAMANI NA ALISHAKWISHA KAMA KINA FERUZI, TEMBA, JUMA NATURE,DUDU BAYA, MR.NICE N.K, Kinachomweka mjini ni mashabiki wasiompenda Diamond ambao wameamua kumuoverrate Kiba na kumfananisha na Diamond, ila kiuhalisia Kiba hana kitu sasa
Heheeee kumbee team Pinzani weyeeWako na ommary faraji nyembo
Kati ya hizi ngoma ipi kali ya kwanza ya pili au ya tatu. Ali Kiba ana jina kubwa sana na kiki ya bifu pia anayo. Asley wala Beka hawana kiki ya kulelewa na wamama au hata ya bifu.
Seduce Me
Sikinai
Likizo