Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

King Kiba ametoa wimbo unaitwa seduce me ila ukiangalia Artwork yake ni copy and paste ya album cover ya msanii toka Canada The Weeknd iitwayo Star Boy ya mwaka 2016.
Je ni kwamba tuna uhaba wa graphics designers?
Wanasema hamna kitu kipya duniani ila sio kushindwa ku design na kuamua kukopy artwork ya msanii mwingine.

f49a62326ae0f679f7a14fc625270fe7.jpg


6aeb8b9995ddf7b39e2fa5607eaf87a7.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
hata beat ya nyimbo ni mbovu sana mkuu
 
Kwenye swala la kitu kizuri au kibaya kila mtu ana moyo wake, alafu hili beef linasababisha hata nyimbo nzuri za wasanii wengine zisikike nyimbo kama ya Jux utaniua, barnaba tunafanana naona zitakuwa hazipewi promo ya kutosha, kwani hata radio na watangazaji nao wamekuwa mashabiki, ila nyimbo hii naipa 6.5/10, ila tuipe muda.
 
Back
Top Bottom