Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Msanii wa nyimbo za Injili Christina Shusho ameumwagia sifa wimbo mpya wa Ali Kiba uitwao seduce me na kusema ni wimbo mzuri wenye maadili, haya ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram
ff9463abcbb0ebe50c1e766201f533b9.jpg
33226884b5b5589e900624115571988c.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo unapigiwa debe kumpa public sympathy
 
kama una sabufa home hutouelewa seduce me.
ila kama una home theater or other good music system huhitaji fimbo kuulewa...
tunasubiria tuzo zetu.......

Sent using Jamii Forums mobile app
Au basi kama uko mbali na home uusikilize japo kwa Ear/Head phones nzuri, au basi Car radio vioo vikefungwa na full AC au basi Club kali yenye Sound proof au basi kama haina sound proof club iwe na Speakers kalii. Hapo utaelewa tofauti ya Mfalme na Malkia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani i think mtakuwa mmeamini nlichowaambia jana kwamba this is history making good music sio videos zenye fancy cars,fancy houses and fancy girls huu mtindo wa wanigeria tuuache na tuwe kama international artists kama drake,jay z jama hebu angalieni videos za kina jay z na Nas and others kama haya mambo yapo sio lazima video iwe na rangi nyingi iwe hd kinachomata ni very good music
mfano justine timberlake anaweza kaa miaka mitano bila wimbo lakini akija na jiwe moja tuu mfano his last hit mirror angalieni video yake hakuna mambo ya rangi mademu magari wala nyumba nzuri let us be international let us br exposed just like ali kiba's good music is the living music jamani kama unabisha meza wembe
my regards

Hakuna msanii anayependa kuweka Magari kwenye video zake kama Jay Z hebu niwekee bideo moja ya Jay Z isiyo na migati ya kifahari
 
Huyo Shusho wenu ni lofa na mpumbavu kushabikia hasivyo vielewa
Upumbavu wake uko wapi?.ni mara ngapi umeshawahi kupenda nyimbo pasiko kujua ujumbe mzima au lugha iliyotumiwa.watu wanapenda nyimbo za kihindi lakini hawajui kilichozungumzwa.kadhalika za wacongo kingereza n.k.inaonekana haujui maana ya mziki
 
Najua team kwaya watakuja kutoa povu

Ila ukweli usemwe alikiba kafanya international music, wimbo wa kiba umekaa kiclubclub lakini wimbo wa wcb umekaa kisingeri au kigoma cha uruguay

BACK TO THE TOPIC

sasa tujaribu kujuzana wale watu maarufu walioukubali wimbo seduce me

1.Ridhiwan kikwete
2.Paul makonda
3.Diva
4.Wema sepetu
5.Jokate
6.Mange kimambi(mchepuko wa kiba)
7.Ebitoke
8.Jacklin wolper
9.Mimi
10.Lulu



huko chini endeleeni
No 7 na 9 imetisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii vita kati ya Alikiba na msanii wa level yake blad key itafanya watu vichaa..

Diamond naye inabidi atafute ugomvi na wasanii wa huko Marekani(ndio wa level yake) ili apostiwe hadi na akina Don Moen.
Atafute ugomvi na msanii gan wa marekani ebu mtaje mmoja tuone
 
Ali Kiba anajua nini anafanya kijana anaheshimu kazi yake hadi maamuzi yake achilia mbali heshima hata kwake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom