Don chul Lingula
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 363
- 276
Wimbo naupa 9/10
Uko poa sana
I think Tanzania kuna wimbo wa taifa umezaliwa tena baada ya AJE ambao bado upo
Sio mpenz wa music wa kisasa1. Asley likizo, 2. Bakar fleva sikinai na 3. Seduce me ali kiba 4. Cheche .................1069 Eneka.........1007 Fire by diamond
We dada kaa kimya kama hujui maana yake, kwani ukijua maana yake itabidi utubu na kubatizwa upya kwa maji mengi. Huu mziki wa kidunia tuachie sisi, ww chapa gospel. Ukigeuka nyuma utakuwa makanikia.Msanii wa nyimbo za Injili Christina Shusho ameumwagia sifa wimbo mpya wa Ali Kiba uitwao seduce me na kusema ni wimbo mzuri wenye maadili, haya ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka Kiba amseduce! Injili imeingiliwa.Injili na Seduce me vinahusiana nini? Si aache2 gospel ajiunge team Kiba rasmi?????
Rekebisha kauli sasaOooh a'm Sorry nilifikiri namjibu Mbasha.
Nilishindwa kutofautisha Shusho na Mbasha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wizkid anatoka afrika mashariki????jamani,,mmekuja kuwaje?embu acha kudaganya watu unajua Come Closer ya wiz kid iligonga viewers ngapi uko vevo kabla ya masaa 24 ilikuwa tayari n viewers 1 million na ushe
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki wako wewemshamba tu huyo. mtu aliyeokoka hata mmoja hawezi kushabikia hayo matapishi ya shetani, ndio maana uimbaji wake umeshapungua kwasababu ya michanganyo kama hiyo. kwasababu tu ametoka kigoma kama yeye ndio asapoti miziki ya shetani? wow! true picture ya hawa wanagospel wetu. kama kumtumikia Mungu kumekushinda, Mungu atachagua watu wengine wamuimbie, wewe endelea na kina Kiba.
saa 7:58 mchana ina views 830k, vp bado unalakumtetea!?
D.A "Mwanaume mashine"
Siku ukikuta mama yako ndio anasakata rumba la "seduce me" utafanya nini?Huyo Shusho wenu ni lofa na mpumbavu kushabikia hasivyo vielewa
Kasikilizeni kigori ya shishi...kithungu kigumu mtaelewa vipi...Dai nyimbo zake za watu wa uswahilini..seduce me kwa wale wanaokula dinner 5 star hotelsAisee! Kuna watu walisema jamaa wana mu overrate, mwenzi mzima katulaza macho kwa nyimbo hii?
Labda hizo mbili zinazokuja, hii hamna kituBaba yenu dimond amezimia
Maana seduce tu ni sheeeda
Sasa subirini nyingine 2 zinafuata