Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
diamond na ali kiba there are two very different entities jamani we are to accept that mimi kiukweli ali kiba belongs to his own planet ana music wake kabisa na pia music ni good music ndio maana unaishi muda mrefu afu pia kuna watu wanaimba very good music sema hawapati airtime kama aslay,beka,ben paul,belle 9 I think you will understand what i mean by saying good music diamond anaimba nigerian music nandio ana copy na kupest huko
mfanoo south africa they have their own music thats why kule music wa nigeria hata hawaujui huys nadhani mtakuwa mumenielewa
We unajichanganya sana, Diamond hana muzic wa Kinegeria pekee, yeye anapoga flavour za kila sehemu, Ukiangalia Eneka na Nigeria type, ukiangalia I miss you ni South African Type, bado ana Tanzania na ana international
Angalia concert alizofanya Diamond, South africa, Zimbabwe, Botswana, Zambia, Malawi, Kenya, DRC, Rwanda, Uganda nk, huko kote kajaza nyomi na watu wanaimba hizo nyimbo zake kwa kuzijua