Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Ngoma ya kawaida

Afu jamaa sauti yake ile inapotea sijui ni uzee au nn

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Habari wana jamvi

Leo Ali kiba kaachia seduce me sijaielewa ngoma ....
Ngoma ni kawaida sana. Najiuliza kiba kwa katuona sisi watu wa kutuchezea masharubu ........
Pumbavu zake nam block sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo team zenu zinawaharibu sana.
To be honest, ngoma tamu sana.

Sasa sijui nyie utamu wa muziki mnaupima kwa kitu gani,?

Kama mnapenda singeli, kiba haimbi hizo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team dimondi naona mnaumiza vichwa maana baba yenu kaishiwa maana nyimbo zote 3 zimepotea kwenye midia
 
Nyimbo nzuri sana ila shooting mbovu!! Management yake bado ina kazi ya kujipanga..hii aje kufanya remix halafu pale kati amuweke fally ipupa anaweza kukikalia hicho kiti anachokililia kila siku...please sina timu!!
 
Wimbo naupa 9/10
Uko poa sana

I think Tanzania kuna wimbo wa taifa umezaliwa tena baada ya AJE ambao bado upo
 
Back
Top Bottom