Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Official Video: Seduce Me by Ali Kiba

Ubaya wa Ali, akili yake yote ina focus bongo &East Africa lakini yule fulani ametoboa market yake hadi West na South Africa wanamfahamu sana mimi mwenyewe ni shahidi wa hili,nimeshawahi
fika Angola,Namibia,Botswana ndani ndani huko(interiors ) nikakuta wananchi wanagonga nakuzifuata ngoma za dai kama wako Darlive
 
Naona Malkia wa nguvu akijichekesha.....

Kikubwa avumilie tu maana mama ake ndio KISHALIWA.
 
21041040_1980300808882526_2703567997414408192_n.jpg
 
Ila Nchi yetu mbwembwe tupu...Mi sintakuwa shabiki wa nyimbo hizi kamwe!!.

Ukiangalia video ya Shaggy..Strength of a woman iliyofanywa mwaka 2002 yaani miaka 15 iliyopita halafu ukajaribu kuona hiki nilichokiona hapa...ni matapishi kabisa. Hakuna ubora wa uimbaji wala video ni pumba tupu.
NI ujinga pia kuwa na team...UPUUZI.
 
Naona Malkia wa nguvu akijichekesha.....

Kikubwa avumilie tu maana mama ake ndio KISHALIWA.
Dah hii kali! Acha ushabiki wa kijinga usikosee heshima watu wazima, Itakusaidia sana kwenye maisha hasa wasiokukosea chochote! Kuna kitu kinaitwa Karma kiogope sana. Don't say I didn't warn you
 
CHIBUUUUU DANDOTEEE ENEKAAA fireeeee😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom